Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Umenena vema mkuu. Asa mtu akidhani mtu ni wakala wa Kanji afu akajichomeka mwenyewe anamlaumu nani si ajilaumu mwenyewe? Mtu unaona kabisa hii ni SUMU lakini unainywa, what do you expect?
Machungu Na Makasiriko Ya Kupigwa Na Kanjibahi Wanamtupia Asiyehusika Kweli Soko Gumu.

Code Zinatumwa Ni Hiari Ya Mtu Kuzitumia/ Kuzichukua Na Kuzifanyia Upembuzi Wa Kina Kulingana Na Matakwa Yako.

NB: Adui Yetu Mmoja & Kesho Nayo Siku
 
Screenshot_20240114_122314.jpg
code hii hapo ka mkeka ka asubuhi ya leo..
 
Back
Top Bottom