Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo



Hahahaha ... nimeipenda hiyo "hatuwezi kuacha asili yetu ..." kokolo linafaa siku ya timu nyingi, hasa siku za Ijumaa, Jumamosi & Jumapili. Ipo siku tutamshangaza kanjibah ... Mark my words.
 
[emoji23] [emoji23]
 
Hahahaha ... nimeipenda hiyo "hatuwezi kuacha asili yetu ..." kokolo linafaa siku ya timu nyingi, hasa siku za Ijumaa, Jumamosi & Jumapili. Ipo siku tutamshangaza kanjibah ... Mark my words.

Nilichojifunza kwenye kokolo usimpe mtu ushindi wa moja kwa moja. Ni mwendo wa magoli, Double chance, double chance 12, GG.
 
msaada jamani wa odds za leo ata nirudishe mtaji..ili august 13 nicheze single bets

BUDDY MSAADA MKUU
 
Mganga toka Marangu [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Huyu kanjibahi hafai
Jaribuni mbinu hii mim juzi nimejikuta na ukimbia umaskini kupitia mkeka betting.

Nilichagua timu 13 kutoka ligi tofauti tofauti kisha nikatia buku jero kwa zaid ya 2M.
Mfano leo mpaka tarehe 23 August unachagua timu 10. 2EPL, 2laliga, 2france, 2ujeruman, 2champion au league 1.

Ni ubashiri lakini uwezekano wa kushinda unakua mkubwa. Pia kwa kuwa timu ni nyingi kwa dau la buku 1 au 2 hukosi 2M+ kama ukishinda.

Pia kwa style hii unaweza kubet mara 1 au 2 tu kwa mwezi mzima.

Huu mchezo hauna mbabe wala formula. Ni mchezo wa pata potea. Sio pata patia.
 
Mi huwa nabet over/under, 1x2, btts, handicap, ila sielewi double chance INA maana gani,

MSAADA
 


Kama unatamaa na odd nyingi kwa team chache.....tujaribu hapa ni 50/50
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…