Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Website gan hyo mzee baba
 
Betting ni ngumu sana

Nilikuwa na open bets jana na leo zaidi ya 200
Lakini zimebaki 9 tu za AFCON ambazo mbili ni za over 0.5 first half(2) na nyingine over 1.5 full time(7) nimerudiarudia

Nisingecash out matreni yalioanza jana kwa Vimeo vya leo hata mtaji ningekosa


Sitakata tamaa , mimi ndiye mshindi wa bilioni 40 mwaka huu Betway

Betting pia inahitaji uzoefu na bahati inakuja baadaye
 
Pumzika kwa amani legendari.
Mkuu MACHONDELA, marehemu alikuwa anapenda kubeti basketi pekee. Huu ni moja ya mkeka alioweka tarehe kama ya leo (14-01-2020).
Yes Sana mkuu,tena Sana.Ndo hivyo ameanguka,trh 18.01.2024 mwili utaingia Dar kutokea Japan,alikuwa anakula PhD,r.i.p @z.z.rumisha

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Hahaha ila humu jukwaani kunafurahisha sana ndio maana wengine tumeamua kukaa kimya tu, tunampiga kanji bila kelele kabisa[emoji16]

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…