mwanauvinza
JF-Expert Member
- Jul 24, 2023
- 365
- 1,050
Usiwaze mkuu. Ngoja ziwepo mechi mechi, maana na mimi ni mzee wa mikeka.Mkuu nasubiri mkeka wako! Kuna mkeka mmoja wa jmosi uliusuka kiufundi sana japo ulichanika! Leta mingine tuone tutafika wapi
Bado mkuuI think ushajibiwa
Bado mkuu
kivipi mbon nimeweka mkeka muda huubetpawa washakimbia nchini tayari....
Ngoja wajeHUU UZI UMEANZISHWA MWAKA 2013, NATAKA AJE MTU HAPA ASEME LINI TRENI YA TIMU 40 ODDS ELFU KUMI NA ILIWAHI KUSHINDA! AJE MTU HAPA NA USHAHIDI NIMPE LAKI MOJA!...HAKUNA HATA MOJA...KWA HIYO NINYI ENDELEENI MCHANGIA KANJI TU UNADHARAU UNASEMA KA SH 100 HELA NDOGO TU HATA NIKIPOTEZA LAKINI JUA MKO MILIONI TANO MNAWEKA MIA MSHAMPA KANJIBAI MILIONI 500 YA BUREπππ
tuonyeshe mkeka wako ulioshinda tujifunzeHUU UZI UMEANZISHWA MWAKA 2013, NATAKA AJE MTU HAPA ASEME LINI TRENI YA TIMU 40 ODDS ELFU KUMI NA ILIWAHI KUSHINDA! AJE MTU HAPA NA USHAHIDI NIMPE LAKI MOJA!...HAKUNA HATA MOJA...KWA HIYO NINYI ENDELEENI MCHANGIA KANJI TU UNADHARAU UNASEMA KA SH 100 HELA NDOGO TU HATA NIKIPOTEZA LAKINI JUA MKO MILIONI TANO MNAWEKA MIA MSHAMPA KANJIBAI MILIONI 500 YA BUREπππ
6523A8A Bt nimeongezea8242210 betpawa
Code yako sichukui yaani imeandika SIMBA FALA (Jokes)Code-SMBAFALA
Bookmarker-Paripesa... Editorial, Editable Version...find it on X
View attachment 2872523