Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Unanipa laki moja sure??
 
Kuna tunao honga mademu pesa ndefu tu na tuna familia.
Kuna ambao wakikaa kaunta kuteketeza 20,000 mpaka 50,000 ni kawaida.
Kuna wavuta fegi.
Tuna jaza mafuta magari na hatuna mizunguko ya maana mjini.
Tunaingiza milioni 4 shamba na tunatoka na maumivu ya mgongo na sugu mikononi.
BETI KISTAARABU WALA HUTAPATA STRESS.
LETENI CODES WANA......
 
Nimeangalia sehemu uliobet million kwa siku ila sijaona
 
Yaani ulikuwa a useful customer tena mpaka ukawa VIP kwa muda mrefu lakini uliposhindwa kushinda ndio wamekuwa matapeli au akili imekurudia sasa muda wote ulikuwa zombie?
 
Umekula maharage ya wapi leo?
 
Napendelea zaidi flexbet kuliko One cut maana kwenye flexibet ikichana hata tatu mpunga unapiga mkubwa kiasi tofauti na onecut hata ikichana moja unarudishiwa karibu na stake uliyoweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…