MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,071
- 10,028
Mbona wanaija hawana thread kama hii..Humu sikuizi kuna madogo wamezidi sana ujuaji mpaka watoa codes wameona isiwe kesi wanabeti kimyakimya
Before muanze kuita watu kuwa ni agents wa kanji mnatakiwa kujua kuwa betting ni mchezo wa kubahatisha, kwa mantiki iyo mtu huwezi kubahatisha kila siku.
Izo stress za kutapeliwa na wakenya huko Telegram na kuhisi humu jukwaani kila mtu ni tapeli kisa umechukua code humu na kustake hela ya kula au kodi ikaliwa ziishie hukohuko whatsapp.
Tusipobadilika tukashirikiana kwa pamoja kumrudisha mhindi kwao kulima pilipili basi wanaija wataendelea kutupiga gape kubwa sana kwenye betting.
Hawa mie nilienda nao na Cards/BookingsView attachment 2872986
Inawezekana betting ni big disappointment ila hatufahamu. Cut one leo tena algeria😂😂😂😂😂..
Hiyo imeendaView attachment 2872986
Inawezekana betting ni big disappointment ila hatufahamu. Cut one leo tena algeria😂😂😂😂😂..
Safi kugundua hilo. Acha kesho tuone. Haya matimu mengi nayo ngumu kubutua kampuni za betting. Zinataka utulivu. Najaribugi ila naona ni magumu, siingle bet ni poa sana.Hawa mie nilienda nao na Cards/Bookings
Maana najua ngozi nyeusi rafu ndio mpira wetu.
Tangu Jana Bookings za over 2.5 zinaenda vizuri,na also Corners zipo vizuri ila isizidi over 7.5View attachment 2872987
Boooooooooom[emoji4]
Afadhali watu wenye akili mmeanza kuongea, mimi ni mmoja wa watu nilioacha kuweka CODE humu. Yaani mtu unajitolea kuchambua mechi, una risk unaweka pesa nyingi unatuma mkeka, na mikeka yangu mingi ilikuwa inatoa 8/10 mwisho wa unaanza kutukanwa matusi bila sababu na kuitwa wakala wa kanji eti unataka kutapeli watu inaumiza sana.Humu sikuizi kuna madogo wamezidi sana ujuaji mpaka watoa codes wameona isiwe kesi wanabeti kimyakimya
Before muanze kuita watu kuwa ni agents wa kanji mnatakiwa kujua kuwa betting ni mchezo wa kubahatisha, kwa mantiki iyo mtu huwezi kubahatisha kila siku.
Izo stress za kutapeliwa na wakenya huko Telegram na kuhisi humu jukwaani kila mtu ni tapeli kisa umechukua code humu na kustake hela ya kula au kodi ikaliwa ziishie hukohuko whatsapp.
Tusipobadilika tukashirikiana kwa pamoja kumrudisha mhindi kwao kulima pilipili basi wanaija wataendelea kutupiga gape kubwa sana kwenye betting.
Boooooooooom[emoji4] kanji kaniamsha na kipenga,hongera ka ulicheza pia[emoji4] narudi kulala
BoomTorrense win 1.96 odds.