MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,071
- 10,028
Humu sikuizi kuna madogo wamezidi sana ujuaji mpaka watoa codes wameona isiwe kesi wanabeti kimyakimya
Before muanze kuita watu kuwa ni agents wa kanji mnatakiwa kujua kuwa betting ni mchezo wa kubahatisha, kwa mantiki iyo mtu huwezi kubahatisha kila siku.
Izo stress za kutapeliwa na wakenya huko Telegram na kuhisi humu jukwaani kila mtu ni tapeli kisa umechukua code humu na kustake hela ya kula au kodi ikaliwa ziishie hukohuko whatsapp.
Tusipobadilika tukashirikiana kwa pamoja kumrudisha mhindi kwao kulima pilipili basi wanaija wataendelea kutupiga gape kubwa sana kwenye betting.