Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Usizimie moyo mkuu.
Watu wa aina hiyo kwenye jamii hawatoisha.
Hata wakati wa Yesu walikuwepo.
 
Nisaidie jinsi ya kuweka booking code helabet account ninayo tayari
 
Nisaidie jinsi ya kuweka booking code helabet account ninayo tayari
Sawa. Hatua ya kwanza ukifungua app nenda kwenye menu ya chini utakuta kuna neno limeandikwa Betslip, bonyeza hilo neno

Likifunguka neno betslip itakuja menu nyingine kama hii hapa chini kwenye picha. Wewe bonyeza neno lililo andikwa Load betslip.

Baada ya hapo hiyo menu itafunguka. Ikifunguka itakuja sehemu search bar kama hii hapa chini. Basi kwenye sehemu iliyo andikwa Enter bet slip code, utaweka code yako. Utakuja mkeka, na utafanya unavyopenda wewe.
 
Wamekuandama sana "senior agent wa kanjibai" [emoji23][emoji23][emoji38]
Inakatisha tamaa, hadi jana nikaacha share codes. Kati ya codes tatu za jana, mbili zimetoa.
Akili nyingi sana zinatumika andaa codes za kimkakati, member kama jitubandia namuheshimu sana kwa sababu ukiona mikeka codes zake unajua kabisa ubongo wake umechoma calories nyingi sana kuiandaa.
Sasa code ichane, aliyeshare anaitwa wakala wa kanjibai.
 
Asante sana
 
Mkuu 100 hii hii imewahi nipa hela nying ambayo hela hiyo nmefanyia kitu cha kumbukumbu japo ni kidogo. Hivi kipindi kile unasikia betpawa wemefilisika unadhan ilikuwajeee?
kiuhalisia hawakufilisika ila walipigwa hela ambayo hawakuwahi kupigwa na ni hizi hizi hela ndogo.

nadhani kwa huu mchezo kilamtu acheze kulingana na mitizamo yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…