Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

hivi ndivyo jana nilivyomfanya muhindi😁😁 na ana bahati sikuwa na mtaji wa kutosha siku ya leo angeshinda anachoma ubani wa kihindi huku akilia kihindi.....
Screenshot_20240116_033005.jpg
 
Afadhali watu wenye akili mmeanza kuongea, mimi ni mmoja wa watu nilioacha kuweka CODE humu. Yaani mtu unajitolea kuchambua mechi, una risk unaweka pesa nyingi unatuma mkeka, na mikeka yangu mingi ilikuwa inatoa 8/10 mwisho wa unaanza kutukanwa matusi bila sababu na kuitwa wakala wa kanji eti unataka kutapeli watu inaumiza sana.

Naendelea ku bet kimya kimya na napata faida kubwa mno, binafsi inaniumiza rohoni maana nilikuwa natamani at least wote tuwe tunapata hata kama ni kidogo, ila ndio hivyo, ukiweka mkeka humu halafu ukachana au usichane unaitwa WAKALA WA KANJI na TAPELI.

Angalia mfano, siku tatu zilizopita na hii ni site moja tu.

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Usizimie moyo mkuu.
Watu wa aina hiyo kwenye jamii hawatoisha.
Hata wakati wa Yesu walikuwepo.
 
256 MIDNIGHT NBA ODDS ON HELABET [emoji459][emoji459][emoji459]

Promo Code[emoji117][emoji117]: SASA

Booking Code: PGX7N

Jisajiri na stake Helabet Hapa [emoji116][emoji116][emoji116]

Jisajiri Helabet Hapa

Promo code weka neno: SASA

Utapewa bonus ya asilimia 100 mara tu utakapoweka hela kwenye akaunti yako ya Helabet. Kila la kheri.
View attachment 2872837
Nisaidie jinsi ya kuweka booking code helabet account ninayo tayari
 
Nisaidie jinsi ya kuweka booking code helabet account ninayo tayari
Sawa. Hatua ya kwanza ukifungua app nenda kwenye menu ya chini utakuta kuna neno limeandikwa Betslip, bonyeza hilo neno
Screenshot_20240116-093047_1.jpg

Likifunguka neno betslip itakuja menu nyingine kama hii hapa chini kwenye picha. Wewe bonyeza neno lililo andikwa Load betslip.
Screenshot_20240116-093100_1.jpg

Baada ya hapo hiyo menu itafunguka. Ikifunguka itakuja sehemu search bar kama hii hapa chini. Basi kwenye sehemu iliyo andikwa Enter bet slip code, utaweka code yako. Utakuja mkeka, na utafanya unavyopenda wewe.
Screenshot_20240116-093108_1.jpg
 
Wamekuandama sana "senior agent wa kanjibai" [emoji23][emoji23][emoji38]
Inakatisha tamaa, hadi jana nikaacha share codes. Kati ya codes tatu za jana, mbili zimetoa.
Akili nyingi sana zinatumika andaa codes za kimkakati, member kama jitubandia namuheshimu sana kwa sababu ukiona mikeka codes zake unajua kabisa ubongo wake umechoma calories nyingi sana kuiandaa.
Sasa code ichane, aliyeshare anaitwa wakala wa kanjibai.
 
Sawa. Hatua ya kwanza ukifungua app nenda kwenye menu ya chini utakuta kuna neno limeandikwa Betslip, bonyeza hilo neno
View attachment 2873241
Likifunguka neno betslip itakuja menu nyingine kama hii hapa chini kwenye picha. Wewe bonyeza neno lililo andikwa Load betslip.
View attachment 2873242
Baada ya hapo hiyo menu itafunguka. Ikifunguka itakuja sehemu search bar kama hii hapa chini. Basi kwenye sehemu iliyo andikwa Enter bet slip code, utaweka code yako. Utakuja mkeka, na utafanya unavyopenda wewe.
View attachment 2873245
Asante sana
 
HUU UZI UMEANZISHWA MWAKA 2013, NATAKA AJE MTU HAPA ASEME LINI TRENI YA TIMU 40 ODDS ELFU KUMI NA ILIWAHI KUSHINDA! AJE MTU HAPA NA USHAHIDI NIMPE LAKI MOJA!...HAKUNA HATA MOJA...KWA HIYO NINYI ENDELEENI MCHANGIA KANJI TU UNADHARAU UNASEMA KA SH 100 HELA NDOGO TU HATA NIKIPOTEZA LAKINI JUA MKO MILIONI TANO MNAWEKA MIA MSHAMPA KANJIBAI MILIONI 500 YA BURE😂😂😂
Mkuu 100 hii hii imewahi nipa hela nying ambayo hela hiyo nmefanyia kitu cha kumbukumbu japo ni kidogo. Hivi kipindi kile unasikia betpawa wemefilisika unadhan ilikuwajeee?
kiuhalisia hawakufilisika ila walipigwa hela ambayo hawakuwahi kupigwa na ni hizi hizi hela ndogo.

nadhani kwa huu mchezo kilamtu acheze kulingana na mitizamo yake.
 
Back
Top Bottom