Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
hivi ndivyo jana nilivyomfanya muhindi😁😁 na ana bahati sikuwa na mtaji wa kutosha siku ya leo angeshinda anachoma ubani wa kihindi huku akilia kihindi.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usizimie moyo mkuu.Afadhali watu wenye akili mmeanza kuongea, mimi ni mmoja wa watu nilioacha kuweka CODE humu. Yaani mtu unajitolea kuchambua mechi, una risk unaweka pesa nyingi unatuma mkeka, na mikeka yangu mingi ilikuwa inatoa 8/10 mwisho wa unaanza kutukanwa matusi bila sababu na kuitwa wakala wa kanji eti unataka kutapeli watu inaumiza sana.
Naendelea ku bet kimya kimya na napata faida kubwa mno, binafsi inaniumiza rohoni maana nilikuwa natamani at least wote tuwe tunapata hata kama ni kidogo, ila ndio hivyo, ukiweka mkeka humu halafu ukachana au usichane unaitwa WAKALA WA KANJI na TAPELI.
Angalia mfano, siku tatu zilizopita na hii ni site moja tu.
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Nisaidie jinsi ya kuweka booking code helabet account ninayo tayari256 MIDNIGHT NBA ODDS ON HELABET [emoji459][emoji459][emoji459]
Promo Code[emoji117][emoji117]: SASA
Booking Code: PGX7N
Jisajiri na stake Helabet Hapa [emoji116][emoji116][emoji116]
Jisajiri Helabet Hapa
Promo code weka neno: SASA
Utapewa bonus ya asilimia 100 mara tu utakapoweka hela kwenye akaunti yako ya Helabet. Kila la kheri.
View attachment 2872837
Sawa. Hatua ya kwanza ukifungua app nenda kwenye menu ya chini utakuta kuna neno limeandikwa Betslip, bonyeza hilo nenoNisaidie jinsi ya kuweka booking code helabet account ninayo tayari
Wamekuandama sana "senior agent wa kanjibai" [emoji23][emoji23][emoji38]CBCC247 betpawa, mechi zote ni leo jumanne. Odds 4.5.
Wakala mkuu mwandamizi wa kanjibai.
Inakatisha tamaa, hadi jana nikaacha share codes. Kati ya codes tatu za jana, mbili zimetoa.Wamekuandama sana "senior agent wa kanjibai" [emoji23][emoji23][emoji38]
Hii mbona kama mtego, afcon bora kutoibetia kabisa mkeka wowote wa kimkakati.Afcon ni mwendo wa ov 1.5
Asante sanaSawa. Hatua ya kwanza ukifungua app nenda kwenye menu ya chini utakuta kuna neno limeandikwa Betslip, bonyeza hilo neno
View attachment 2873241
Likifunguka neno betslip itakuja menu nyingine kama hii hapa chini kwenye picha. Wewe bonyeza neno lililo andikwa Load betslip.
View attachment 2873242
Baada ya hapo hiyo menu itafunguka. Ikifunguka itakuja sehemu search bar kama hii hapa chini. Basi kwenye sehemu iliyo andikwa Enter bet slip code, utaweka code yako. Utakuja mkeka, na utafanya unavyopenda wewe.
View attachment 2873245
Mkuu 100 hii hii imewahi nipa hela nying ambayo hela hiyo nmefanyia kitu cha kumbukumbu japo ni kidogo. Hivi kipindi kile unasikia betpawa wemefilisika unadhan ilikuwajeee?HUU UZI UMEANZISHWA MWAKA 2013, NATAKA AJE MTU HAPA ASEME LINI TRENI YA TIMU 40 ODDS ELFU KUMI NA ILIWAHI KUSHINDA! AJE MTU HAPA NA USHAHIDI NIMPE LAKI MOJA!...HAKUNA HATA MOJA...KWA HIYO NINYI ENDELEENI MCHANGIA KANJI TU UNADHARAU UNASEMA KA SH 100 HELA NDOGO TU HATA NIKIPOTEZA LAKINI JUA MKO MILIONI TANO MNAWEKA MIA MSHAMPA KANJIBAI MILIONI 500 YA BURE😂😂😂
Umefanikisha?Asante sana