Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mi huwa nabet over/under, 1x2, btts, handicap, ila sielewi double chance INA maana gani,

MSAADA
Maana ya double Chance

12-maana yake team yoyote ishinde yani wasitoke sare yoyote
1x-Wa nyumbani ashinde au apate sare
x2-wa ugenini ashinde au atoe sare
 
Maana ya double Chance

12-maana yake team yoyote ishinde yani wasitoke sare yoyote
1x-Wa nyumbani ashinde au apate sare
x2-wa ugenini ashinde au atoe sare
OK thanks bro, ngoja niingie premier bet niushone mkeka wa ukweli
 
msaada jamani wa odds za leo ata nirudishe mtaji..ili august 13 nicheze single bets

BUDDY MSAADA MKUU


Mimi nilisharusha mkeka wangu wa leo mkuu ... Ila mechi ya Madura Utd imeshaanza, nyingine bado.
 
App ya meridian bet inazingua connection kweny android
 
Ukiamka na hela kwenye bonus account raha sn, ngoja tuanze kuzitumia kabla sijaanza kumrudishia kanjibah ...


Madura Utd - X2 (1.54)
Oakleigh Cannons - Win (1.76)
Dinamo Minsk - 2-4 (1.56)
------
Total Odds = 4.28
Naona madura kachana mkeka duh!!
 
Hii formula nzuri sana......
 
Mkuu ni wapi huko nami nijiunge nimechoka kubet kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…