Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Stuttgart ni wa kuwa nae makini sana... Pumzi inaelekea imekata...

Mwenzake Girona ndio kwaanza kazi inaanza na kuendelea mbele.. anaenda kukiwasha kesho!

Morrow!
 
Nilikufikiria tofauti awali, kuniita overthinker,

Nimeamini Maneno yako mkuu,
Ujumbe wako kwangu kuwa overthinking... Umesaidia kunijenga, kujua wapi nilipokuwa nakosea

Umebadili kabisa!... The way ninavyosuka code zangu za kimkakati 2 tu kwa siku, kwa timu chache sana, may be hata 4 tu....

Na sio kujaza timu... Nasuka code huku nikifikiria niwe na mjengo kama wa jirani yangu!

Hapo umakini na uhalisia unatoweka kwenye kusuka code

Ndoto hizo za abunuasi nimezibakia kwenye code nilizozipa jina (kuza cashout codes)

Pamoja sana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…