Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ukitoa unapata ujumbe gani? Umeshawahi kutoa kabla?
Jaribu kuangalia hapo bet365 kama kuna payment method ya skrill.

Kama ipo fanya hivi;
1. Jisajili skrill
2. Deposit kiasi fulani let say 10$.
3. Kisha deposit bet365 kupitia skrill
4. Betia kiasi chote hata kwa single game yenye odds kuanzia 1.1
5. Baada ya hapo withdraw kupitia skrill. Ikifika skrill, ivute BancABC.
 
Mkuu hawana Skrill. Wanazo options 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20240121_010234_bet365.jpg
    77.5 KB · Views: 9
Mkuu hawana Skrill. Wanazo options
Kwa hapo naona ujaribu kujisajili astropay maana na wao ni payment merchant kama skrill. Binafsi sijawahi kutumia astropay niliishia kujisajili tu, nimetumia skrill tu.
 
Nini maana ya handcap inatumikaje
 
Muungwana ni vitendo!!

Hongera sana kwa kumuelewa mdau, na hongera sana kwa kugundua kitu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…