Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nilikuwa na kahela kangu kalikuwaga kwenye BancABC. Nikakaweka kwenye Bet365. Ilikuwa dollar 10. Mpaka sasa hivi imefika $500. Kwenye kuitoa ndio imekuwa mziki. Aliyewahi tumia hii betting site aje tuyajenge yeye huwa anafanyaje kwenye kutoa mpunga huko. Kuna dollar 50 akileta madini niweze kutoa hii pesa. View attachment 2877889
Ukitoa unapata ujumbe gani? Umeshawahi kutoa kabla?
Jaribu kuangalia hapo bet365 kama kuna payment method ya skrill.

Kama ipo fanya hivi;
1. Jisajili skrill
2. Deposit kiasi fulani let say 10$.
3. Kisha deposit bet365 kupitia skrill
4. Betia kiasi chote hata kwa single game yenye odds kuanzia 1.1
5. Baada ya hapo withdraw kupitia skrill. Ikifika skrill, ivute BancABC.
 
1. Ingia Kwa App Ya Sportpesa
2. Click Betslip
3. Enter Code
Sportpesa code wanaweka sehemu gani mbona sioni
Screenshot_20240121-004107~2.jpg
 
Ukitoa unapata ujumbe gani? Umeshawahi kutoa kabla?
Jaribu kuangalia hapo bet365 kama kuna payment method ya skrill.

Kama ipo fanya hivi;
1. Jisajili skrill
2. Deposit kiasi fulani let say 10$.
3. Kisha deposit bet365 kupitia skrill
4. Betia kiasi chote hata kwa single game yenye odds kuanzia 1.1
5. Baada ya hapo withdraw kupitia skrill. Ikifika skrill, ivute BancABC.
Mkuu hawana Skrill. Wanazo options 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20240121_010234_bet365.jpg
    Screenshot_20240121_010234_bet365.jpg
    77.5 KB · Views: 9
Mkuu hawana Skrill. Wanazo options
Kwa hapo naona ujaribu kujisajili astropay maana na wao ni payment merchant kama skrill. Binafsi sijawahi kutumia astropay niliishia kujisajili tu, nimetumia skrill tu.
 
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k
GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi)

2+ (katika mechi yote yapatikane magoli kuanzia mawili)...

I 2+ (kipindi cha kwanza yapatikane magoli kuanzia mawli)...

II2+ (kipindi cha pili yapatikane magoli kuanzia mawili)....

H2+ (tim ya nyumbani ipate magoli kuanzia mawili)...

A2+ (timu ya ugenini ipate magoli kuanzia mawili)...
Nini maana ya handcap inatumikaje
 
Nilikufikiria tofauti awali, kuniita overthinker,

Nimeamini Maneno yako mkuu,
Ujumbe wako kwangu kuwa overthinking... Umesaidia kunijenga, kujua wapi nilipokuwa nakosea

Umebadili kabisa!... The way ninavyosuka code zangu za kimkakati 2 tu kwa siku, kwa timu chache sana, may be hata 4 tu....

Na sio kujaza timu... Nasuka code huku nikifikiria niwe na mjengo kama wa jirani yangu!

Hapo umakini na uhalisia unatoweka kwenye kusuka code

Ndoto hizo za abunuasi nimezibakia kwenye code nilizozipa jina (kuza cashout codes)

Pamoja sana mkuu.
Muungwana ni vitendo!!

Hongera sana kwa kumuelewa mdau, na hongera sana kwa kugundua kitu!!!
 
Back
Top Bottom