Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Umefanyaje???Jana Na Leo Nimekiwa sanaaa
Najipanga Kuanzia kesho
Hii kampuni gani mdau?View attachment 2878964View attachment 2878965View attachment 2878965View attachment 2878965View attachment 2878964View attachment 2878964View attachment 2878965View attachment 2878964View attachment 2878965View attachment 2878964View attachment 2878964View attachment 2878964
Hii nayo ...chagua yule mjonge ...Ile maximum yake under .. mechi 26 nimekosa mbili .. ntaendelea kuwajuza .... Mkongwe nimerudi kazini ...
Dah usiseme hivyo chief,,,, nimejitela kwa man city kumbe anacheza tarehe 31 ,,,, odds ya kiboya alafu kabaki yeye tu,,,, hiyo cash out sasa dah,,,, inabidi nivumilie tu,,,, odds 1.15 imenizuilia kasalio ka kuosha nyota dahHuyu PSV leo tunavyo muamini.
Wakuu Leo Bayern M na Madrid hawana Odds za kukufanya uwaweke kwenye mkeka wako, Unless uwe unajifurahisa na unataka kuwa na Timu nyingi tuu.
Betpawa wanazuia mkeka mmoja kutumika zaidi ya mara moja (kushare code)
Kama una gundu kwenye hiyo 17 ndo unaangukia hukoNimefanya tafiti ... Kwa wale wanaocheza 1xbet... Kuna chaguo la kuitwa no digit in first quarter...chagua 9... Katika mechi 100 nilizofuatilia ni 17 tu ndio zimekuwa na 9 .. maana yake ni chini ya asilimia 17 kutokea .. nimeanza kucheza Leo .. ntawapa mrejesho.... Kwa muda wako fuatulia mechi za kikapu kila siku quarter ya kwanza ..ni ngapi zinakuwa na digit/tarakimu 9 ..mtanishukuru Baadae....#MkongweKazini