Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

IMG_5810.jpg

Wakiisha Wachezaji Inakuwaje?
 
Huyu PSV leo tunavyo muamini.


Wakuu Leo Bayern M na Madrid hawana Odds za kukufanya uwaweke kwenye mkeka wako, Unless uwe unajifurahisa na unataka kuwa na Timu nyingi tuu.
Dah usiseme hivyo chief,,,, nimejitela kwa man city kumbe anacheza tarehe 31 ,,,, odds ya kiboya alafu kabaki yeye tu,,,, hiyo cash out sasa dah,,,, inabidi nivumilie tu,,,, odds 1.15 imenizuilia kasalio ka kuosha nyota dah
 
Nimefanya tafiti ... Kwa wale wanaocheza 1xbet... Kuna chaguo la kuitwa no digit in first quarter...chagua 9... Katika mechi 100 nilizofuatilia ni 17 tu ndio zimekuwa na 9 .. maana yake ni chini ya asilimia 17 kutokea .. nimeanza kucheza Leo .. ntawapa mrejesho.... Kwa muda wako fuatulia mechi za kikapu kila siku quarter ya kwanza ..ni ngapi zinakuwa na digit/tarakimu 9 ..mtanishukuru Baadae....#MkongweKazini
Kama una gundu kwenye hiyo 17 ndo unaangukia huko
 
Back
Top Bottom