Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Marejesho tafadhari
 
Kama una gundu kwenye hiyo 17 ndo unaangukia huko
Gundu!?? .. sijawahi kuamini katika Voodoo... Gundu equals Voodoo.... Basi sawa ..nimetoka tafiti unanijibu Kwa Voodoo...!!?...How do I do !! ...on my research!!...
odd 8 kila siku naona kama inawezekana.....chondechonde, usiweke timu za africa utaumia mapema
Odds 8 kila siku .. ?? Nipo paleeee .... Tumecheza sana roll-over.... Tena zaods 1.5-2.... Kwa buku ukicheza roll-over za odds 8 unazosema siku 5 tu we ni milionea
Day1 1000 * 8odds= 8000
Day2 8000*8odds = 64,000
Day3 64,000*8odds = 512,000
Day4 512,000*8odds = 4,096,000
Day5 4,096,000*8odds = 32,768,000

FANYA hivyo.... Si unazo za uhakika kiongozi... FANYA hivyo siku 5 tu ..
 
Aiseee 🤣🤣🤣🤣

Watu tunapeana USHAURI NASAHA kama ndio tunaanza kujifunza betting

Njia zooote watu waliishatumia kitambooooo,ila kukumbushana muhim 😀

Kutembea na umakini na Bahati iwepo pia, betting is about Devils sasa kama umekuwa rejected basi ni vipigooo then unafanyakazi eeee au Biashara kisha mtaji na Faida unamletea GANGA JAMUNA


Bet at least once or twice in a week,na ubet bila kuathiri mfumo wa malengo ya Maisha Yako.

Ukijiona unaomba Pesa Ili Ubeti,aiseeee fanya Maombi saana uache Betting, otherwise utaadhirika na utachakaa akili mpaka fikra,Amini nakuambia
 
Gavana tukibeti mara 1-2 si kanji atafunga biashara! Yaani betting ni upuuzi kila siku unafikiria namna ya kumpiga kanjibai , halafu unapoteza mara 99 unapata mara 1,
 
Wakuu huyu JUJU PUNTER kule X mbona anazipiga sana hizi Nigerian nairas!!!?? Halafu stake zake ni 5M na kuendelea. Duuh! Huyu si anatajirika na betting wakuu au ndio upepo[emoji23][emoji23]
 
BRIGHTON UND 3.5
1.50
GOZTEPE WIN
1.50
ARIS WIN
2.00
ALDBEST
 
Egypt win
Instanbull w
Welling ov2 5
Atl Madrid win
4.00 odds
 
UTA ARAD
OV2.5
1.50
INTER WIN
1.60
BENEVENTO
Win
1.50
STAKEWYFMXBHER
 
chagaua bahatiyako
Aldbest
 

Attachments

  • 1705914182479.jpg
    69 KB · Views: 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…