ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Afisa Ubashiri Mwandamizi
Naomba GG ya Leo Nataka nione kama Timu nilizo weka Zipo
Naomba GG ya Leo Nataka nione kama Timu nilizo weka Zipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marejesho tafadhariNimefanya tafiti ... Kwa wale wanaocheza 1xbet... Kuna chaguo la kuitwa no digit in first quarter...chagua 9... Katika mechi 100 nilizofuatilia ni 17 tu ndio zimekuwa na 9 .. maana yake ni chini ya asilimia 17 kutokea .. nimeanza kucheza Leo .. ntawapa mrejesho.... Kwa muda wako fuatulia mechi za kikapu kila siku quarter ya kwanza ..ni ngapi zinakuwa na digit/tarakimu 9 ..mtanishukuru Baadae....#MkongweKazini
Gundu!?? .. sijawahi kuamini katika Voodoo... Gundu equals Voodoo.... Basi sawa ..nimetoka tafiti unanijibu Kwa Voodoo...!!?...How do I do !! ...on my research!!...Kama una gundu kwenye hiyo 17 ndo unaangukia huko
Odds 8 kila siku .. ?? Nipo paleeee .... Tumecheza sana roll-over.... Tena zaods 1.5-2.... Kwa buku ukicheza roll-over za odds 8 unazosema siku 5 tu we ni milioneaodd 8 kila siku naona kama inawezekana.....chondechonde, usiweke timu za africa utaumia mapema
Haujaona nimezipost au unaulizia nini...Marejesho tafadhari
Gavana tukibeti mara 1-2 si kanji atafunga biashara! Yaani betting ni upuuzi kila siku unafikiria namna ya kumpiga kanjibai , halafu unapoteza mara 99 unapata mara 1,Aiseee 🤣🤣🤣🤣
Watu tunapeana USHAURI NASAHA kama ndio tunaanza kujifunza betting
Njia zooote watu waliishatumia kitambooooo,ila kukumbushana muhim 😀
Kutembea na umakini na Bahati iwepo pia, betting is about Devils sasa kama umekuwa rejected basi ni vipigooo then unafanyakazi eeee au Biashara kisha mtaji na Faida unamletea GANGA JAMUNA
Bet at least once or twice in a week,na ubet bila kuathiri mfumo wa malengo ya Maisha Yako.
Ukijiona unaomba Pesa Ili Ubeti,aiseeee fanya Maombi saana uache Betting, otherwise utaadhirika na utachakaa akili mpaka fikra,Amini nakuambia
Fuata sasa codes zake,ndiyo utajua hujui.Wakuu huyu JUJU PUNTER kule X mbona anazipiga sana hizi Nigerian nairas!!!?? Halafu stake zake ni 5M na kuendelea. Duuh! Huyu si anatajirika na betting wakuu au ndio upepo[emoji23][emoji23]
HAKUNA KUPATA KUDOGO.Mungu nakushkru Kwa hiki kidogo[emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666] elf 20, siyo Hana
Ahsante Mungu[emoji1666][emoji1666][emoji1666]
kala mil 60 mara 5 sasaWakuu huyu JUJU PUNTER kule X mbona anazipiga sana hizi Nigerian nairas!!!?? Halafu stake zake ni 5M na kuendelea. Duuh! Huyu si anatajirika na betting wakuu au ndio upepo[emoji23][emoji23]