Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wewe unataka watu miaka yote wabet tu wameamua kupumzika na wa sasa nao itafika kipindi watapumzika watakuja wengine ndivyo maisha yalivyo bwana mdogo.
 
Anayeturoga humu aendelee...nibet mwenyewe nile, nikileta humu cuut one. Anayeturoga nasema aendelee.
 
Hivi mikeka ya humu kuna mtu alishawahi kula ?
Mara nyingi nimekuwa nakula ile ambayo nabet mwenyewe ila hizi code za humu sijawahi
 
Tujaribu kuishi humu.

Weka hata 100
kampuni sportpesa
code: qPQR35
 
Mwanaume ukiwa na kiherehere na tamaa kwa hela za waume wenzio hukawii kuolewa! Acha utapeli wa kizamani! Kama hauna mtaji na unaona unaweza kula hela za uhakika si uuze hata hyo sim yako unayotumia kutaka kutapeli humu ili upate mtaji utrade vizuri ule hela uwe tajiri uje utuajiri sie wasomi wa jamii forum! Leta code au tupe njia tutrade wenyewe tukiona ina ukweli tutakukumbuka kwa chochote sio kuomba omba mitaji na kusumbua watu PM
 
Sawaa kiongozi nimekupata.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Odd 1.069 ulikuwa unaifata ili iwejee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sikuiweka Naicheka Tuuu naona Inatia Doa Kwa Timu zingine tulizo ziamini

Kuna mtu alinionya Timu za Mapema [emoji28]

Real S hadi sasa ni Bila Bila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…