Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hili jukwaa siku hizi limekuwa na mwelekeo usio mzuri ndio maana kuna baadhi ya wakongwe wameamua kujibetia kimya kimya, huwakuti wakiandika chochote humu.
° Kuna Proffesor mzee wa 10 minutes X simkuti humu
° Kuna mwamba alikuwa anaitwa going concern alikuwa anaweka stake za milioni 2 simwoni.
° Kuna yule hodari wa basketi pia simwoni
° Kuna jamaa yeye kaamua kukimbilia jukwaa la mapenzi kabisa
° Kuna yule alikuwa anatupia live, ikiboom anaandika "aisee" yeye stake zake ilikuwa 50k kupanda.
Wewe unataka watu miaka yote wabet tu wameamua kupumzika na wa sasa nao itafika kipindi watapumzika watakuja wengine ndivyo maisha yalivyo bwana mdogo.
 
Anayeturoga humu aendelee...nibet mwenyewe nile, nikileta humu cuut one. Anayeturoga nasema aendelee.
HORIZON_0001_BURST20240127142944939_COVER.JPG
 
Hivi mikeka ya humu kuna mtu alishawahi kula ?
Mara nyingi nimekuwa nakula ile ambayo nabet mwenyewe ila hizi code za humu sijawahi
 
Tujaribu kuishi humu.

Weka hata 100
kampuni sportpesa
code: qPQR35
 
Mkuu.
Naomba tag for me. Hao watu . Nakuomba tafadhali.. Nahitaji kuongea nao , serious aisee.
Ni Risk takers,Ambao they can stake higher . Nahitaji kushare nao jambo.
(Watapata hela wao , Ila namimi wakiniamini nitakua Kama wao).

Kuna mahali , Kuna codes nimezinasa , Codes nimezinasa . Namaanisha kabisa .CODE NIMEZINASA.
Sijapewa Imani TU.
Nisaidie mkuu.

#NI KWELI KUNA JAMAA ALIKUA ANA STAKE ADI 1M, NA ANAPOTEZA .
AISEE HUYU NAOMBA AISEE NATAKA KU SHARE NAE JAMBO.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Mwanaume ukiwa na kiherehere na tamaa kwa hela za waume wenzio hukawii kuolewa! Acha utapeli wa kizamani! Kama hauna mtaji na unaona unaweza kula hela za uhakika si uuze hata hyo sim yako unayotumia kutaka kutapeli humu ili upate mtaji utrade vizuri ule hela uwe tajiri uje utuajiri sie wasomi wa jamii forum! Leta code au tupe njia tutrade wenyewe tukiona ina ukweli tutakukumbuka kwa chochote sio kuomba omba mitaji na kusumbua watu PM
 
Sawaa kiongozi nimekupata.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Odd 1.069 ulikuwa unaifata ili iwejee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sikuiweka Naicheka Tuuu naona Inatia Doa Kwa Timu zingine tulizo ziamini

Kuna mtu alinionya Timu za Mapema [emoji28]

Real S hadi sasa ni Bila Bila
 
Back
Top Bottom