Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

kanji kachachamaaa sana ndo maana unaona hivyo
 
kanji kachachamaaa sana ndo maana unaona hivyo
Hamna ni sisi kujipa muda na si kuwa "wazandiki" = "Liberals"... Tuwe "Conservatives"= "wahafidhina"... Adui yetu mmoja .. shida humu wengi wamekuwa na ujuaji mwingi ... Aliyeanzissha Uzi Rockcity native sijui hata Yuko wapi ... Nilikutana naye 2013 kibandani pale ofisi za Meridian natoa mtonyo naye anatoa mtonyo ..Sasa walipigwa sana siku hiyo ..ndio nikaulizwa jina la akaunti..natumia jina hilihili... Akashtuka akanifata oya we ndio Mtoto wa Nzi... Nkamwambia ndio ..akacheka ...mbona umejipa jina chafu sana wakati unaonekana mstaarabu Mimi Rockcity native .. tukala kitimoto choma ...ikaisha ... Na simuoni kabisa na hapatikani hata humu hachangiii na ndiye aliyeanzissha Uzi.... Sijui kama "nilidanganywa "...lakini Kwa muda ambao amekaa kimya ..kama yupo hai tumshukuru ..kama katangulia mbele za haki TUMUOMBEE .. AMINA.
 
Kitambo sana 2013 huko... Meridian akiwa na ofisi pale Kando ya TANESCO kilipokuwa chuo Cha CBE... daaah... Kama yupo hai nashukuru Mungu...wakafungua ofisi Kirumba.... Kipindi hicho Meridian imewakaaaa... Nipo SAUT nachukua Masters... Daaah..nikimaliza hapohapo 2009... B.A Economics.... Tuishi tu jamani... Mi betting imenisomesha, nimejenga nineoa.. sio tajiri ila naishi(nadumu)....tusiwe na matamanio makubwa .... Tutafute tu hata elf10 sio mbaya ... Utapigwa lakini utampiga mara nyingi zaidi.. utabaki na faida wewe...
 
Kuna jamaa alipost humu alikuwa promo code CSK7.. Ndio nikitumia.. nikahijiwa "we mkongwe mpaka Leo unaitwa Kwa jiunge na kampuni hii!!...nikamjibu tu ... Udadisi sio dhambi... Tangu nimedeposit 20... Namvuta yeye tu .... screenshot zinajieleza.. na za kupigwa zipo.... Ntazipiga Kwa mtiririo/ko wa wakushuka ama kupanda ascending kuanzia au descending tangu nilipoanza naye .. lakini kumia yeye ..na ntamuumiza sana ....
 
Yupo huwa anatokea mara chache sana.
 
Behewa ndio Tatizo

Kabla halijafika kigoma linapindukia moro
 
Jana kulikuwa na matokeo ya ajabu na ya kikatili sana, Leverkusen, juve, Barcelona, linfield na wote wapo home noma sana
Namsubiri dotmond na psg wanivushe uchumi wa kati,,,, ili arsenal na man city wakatie baraka zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…