Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ain't that. Some of us don't engage in alcoholism, Cigarette smoking, Caffeine or anything but we gamble responsibly with purpose. I
Hatupoi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hate to who!?? Specifically whom one!??....mi sivuti fegi ...Bali ganja got non of it nicotine, I don't take coffee got no coffeine.. Usually using Ginger tea... Got no pains to use painkillers Ganja treat's it... Re-do your research...
Hate to who!?? Specifically whom one!??....mi sivuti fegi ...Bali ganja got non of it nicotine, I don't take coffee got no coffeine.. Usually using Ginger tea... Got no pains to use painkillers Ganja treat's it... Re-do your research...
kanji kachachamaaa sana ndo maana unaona hivyoHili jukwaa siku hizi limekuwa na mwelekeo usio mzuri ndio maana kuna baadhi ya wakongwe wameamua kujibetia kimya kimya, huwakuti wakiandika chochote humu.
° Kuna Proffesor mzee wa 10 minutes X simkuti humu
° Kuna mwamba alikuwa anaitwa going concern alikuwa anaweka stake za milioni 2 simwoni.
° Kuna yule hodari wa basketi pia simwoni
° Kuna jamaa yeye kaamua kukimbilia jukwaa la mapenzi kabisa
° Kuna yule alikuwa anatupia live, ikiboom anaandika "aisee" yeye stake zake ilikuwa 50k kupanda.
Hamna ni sisi kujipa muda na si kuwa "wazandiki" = "Liberals"... Tuwe "Conservatives"= "wahafidhina"... Adui yetu mmoja .. shida humu wengi wamekuwa na ujuaji mwingi ... Aliyeanzissha Uzi Rockcity native sijui hata Yuko wapi ... Nilikutana naye 2013 kibandani pale ofisi za Meridian natoa mtonyo naye anatoa mtonyo ..Sasa walipigwa sana siku hiyo ..ndio nikaulizwa jina la akaunti..natumia jina hilihili... Akashtuka akanifata oya we ndio Mtoto wa Nzi... Nkamwambia ndio ..akacheka ...mbona umejipa jina chafu sana wakati unaonekana mstaarabu Mimi Rockcity native .. tukala kitimoto choma ...ikaisha ... Na simuoni kabisa na hapatikani hata humu hachangiii na ndiye aliyeanzissha Uzi.... Sijui kama "nilidanganywa "...lakini Kwa muda ambao amekaa kimya ..kama yupo hai tumshukuru ..kama katangulia mbele za haki TUMUOMBEE .. AMINA.kanji kachachamaaa sana ndo maana unaona hivyo
Mtoto wa nzi jamaa yupo..hahahah karibu mwanza.
[emoji120][emoji120]8DF6E7
Chakata kivyako! Code ya Kimkakati!
Hapa ndipo vetting ya leo inaishi humo!... Only 16-19 games out of 50!
View attachment 2885501
Kitambo sana 2013 huko... Meridian akiwa na ofisi pale Kando ya TANESCO kilipokuwa chuo Cha CBE... daaah... Kama yupo hai nashukuru Mungu...wakafungua ofisi Kirumba.... Kipindi hicho Meridian imewakaaaa... Nipo SAUT nachukua Masters... Daaah..nikimaliza hapohapo 2009... B.A Economics.... Tuishi tu jamani... Mi betting imenisomesha, nimejenga nineoa.. sio tajiri ila naishi(nadumu)....tusiwe na matamanio makubwa .... Tutafute tu hata elf10 sio mbaya ... Utapigwa lakini utampiga mara nyingi zaidi.. utabaki na faida wewe...Mtoto wa nzi jamaa yupo..
Kuna jamaa alipost humu alikuwa promo code CSK7.. Ndio nikitumia.. nikahijiwa "we mkongwe mpaka Leo unaitwa Kwa jiunge na kampuni hii!!...nikamjibu tu ... Udadisi sio dhambi... Tangu nimedeposit 20... Namvuta yeye tu .... screenshot zinajieleza.. na za kupigwa zipo.... Ntazipiga Kwa mtiririo/ko wa wakushuka ama kupanda ascending kuanzia au descending tangu nilipoanza naye .. lakini kumia yeye ..na ntamuumiza sana ....BONUS ipo mkuu. Kama uliweka Promo Code hii 👉👉TIPS2424 wakati unajiunga basi kila Jumamosi ukiweka hela kwenye akaunti yako ya PARIPESA utapewa bonus ya asilimia 100%. Ila sharti ili upewe hiyo bonus lazima ujisajili kwa link hiyo hapo juu na PROMO CODE, halafu hela ya kuweka lazima iwe TZS 25000, pia hakikisha una kamilisha usajili wa akaunti yako. Bonus hiyo ni kila Jumamosi kuanzia saa sita kamili usiku, inaisha Jumamosi saa tano dakika 59 usiku. Kwa hiyo ukiweka TZS25000, wana kudouble, jumla inakuwa 50000.
Yupo huwa anatokea mara chache sana.Hamna ni sisi kujipa muda na si kuwa "wazandiki" = "Liberals"... Tuwe "Conservatives"= "wahafidhina"... Adui yetu mmoja .. shida humu wengi wamekuwa na ujuaji mwingi ... Aliyeanzissha Uzi Rockcity native sijui hata Yuko wapi ... Nilikutana naye 2013 kibandani pale ofisi za Meridian natoa mtonyo naye anatoa mtonyo ..Sasa walipigwa sana siku hiyo ..ndio nikaulizwa jina la akaunti..natumia jina hilihili... Akashtuka akanifata oya we ndio Mtoto wa Nzi... Nkamwambia ndio ..akacheka ...mbona umejipa jina chafu sana wakati unaonekana mstaarabu Mimi Rockcity native .. tukala kitimoto choma ...ikaisha ... Na simuoni kabisa na hapatikani hata humu hachangiii na ndiye aliyeanzissha Uzi.... Sijui kama "nilidanganywa "...lakini Kwa muda ambao amekaa kimya ..kama yupo hai tumshukuru ..kama katangulia mbele za haki TUMUOMBEE .. AMINA.
Behewa ndio TatizoKitambo sana 2013 huko... Meridian akiwa na ofisi pale Kando ya TANESCO kilipokuwa chuo Cha CBE... daaah... Kama yupo hai nashukuru Mungu...wakafungua ofisi Kirumba.... Kipindi hicho Meridian imewakaaaa... Nipo SAUT nachukua Masters... Daaah..nikimaliza hapohapo 2009... B.A Economics.... Tuishi tu jamani... Mi betting imenisomesha, nimejenga nineoa.. sio tajiri ila naishi(nadumu)....tusiwe na matamanio makubwa .... Tutafute tu hata elf10 sio mbaya ... Utapigwa lakini utampiga mara nyingi zaidi.. utabaki na faida wewe...
Namsubiri dotmond na psg wanivushe uchumi wa kati,,,, ili arsenal na man city wakatie baraka zaoJana kulikuwa na matokeo ya ajabu na ya kikatili sana, Leverkusen, juve, Barcelona, linfield na wote wapo home noma sana