Umeweka yoyote ashinde...matokeo ni drawSijaelewa hapa Bp Wamefanye nisaidieni?View attachment 2886285
Bado hajamjua Erick ten aka Mzee wa kunyoosha,,,,
nimekumisMkuu,bado unabetia hiyo timu?
Mkuu kwa hiyo nakosea kuweka Code? Au kosa ni kuweka PARIPESA?Tumekuchoka kaka,kila siku jambo ilo ilo tu,ahaa unaboa unatujazia seva tu.
Mkuu kama haikuathiri,achana nae tu,apost anavyotaka, yawezekana ndo njia yake ya kujipatia kipato.Jambo la muhimu asiwe tapeli.Tumekuchoka kaka,kila siku jambo ilo ilo tu,ahaa unaboa unatujazia seva tu.
Ushafikia level za mgonjwa sasa, tafuta tiba hospitalini upone.mtaliwa sana mpka vyupiii shwaini nyie
Ujumbe mzur sanaaaMapambono yaendelee. Tukumbuke tu kuwa na nidhamu kazini. Maana kama mnavyojua, mwindi yake mechi moja tu. tupunguze yale matreni la sivyo vilio vitakuwa vingi sana.
Kazi njema.
Betpawa hawajakosea wapo sahihi we uliweka double chance kwamba yoyote ashinde wa Nyumbani au ugenini, ila wametoka draw, ugekuwa umeweka double chance ya 1x au 2x hapo sawaSijaelewa hapa Bp Wamefanye nisaidieni?View attachment 2886285
Halafu hiyo unayo tumia siyo app official ya Betpawa. Hiyo app ni clone ya app halisi ya Betpawa.Sijaelewa hapa Bp Wamefanye nisaidieni?View attachment 2886285
[emoji2969][emoji2969][emoji120][emoji120]Hili gari moshi nimepita nalo mazima mazima
inshaalah hadi tr 31 huenda mambo yakawa muswanu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Paris Saint German kumanynko
Tuliingia cha kike tu,,, wachezaji kila mmoja anajichezea ilimradi tu,,,,Paris Saint German kumanynko
hapo uliweka timu zote zifungane 2+Msaada kwenye tuta,kwa mujibu wa ayo matokeo na iyo option ni sawa au laaaView attachment 2886692