blackice2100
JF-Expert Member
- May 11, 2020
- 2,188
- 2,897
Timu la kingese sana,,,, France na mm cwagusi tenaWakati Naenda Kulala niliacha PSG anaongoza Goli mbili, Nimeamka sioni Sms ya Muamala [emoji2369][emoji2369]
Kuangalia kumbe aliishia Ku draw [emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Timu sita chache bhana,, screen shot na cc tuunge tela kwenye makampuni yetuWakubwa kwakuwa hata Odds ndogo zinachana, hizi hapa Odds 270+ zenye matumaini ndani yake, 9F84DE2 Betpawa! Weka hata jero kisha ususe huo mkeka maana ni timu 6 tu ila zinafika mpaka jumapili
Timu sita chache bhana,, screen shot na cc tuunge tela kwenye makampuni yetu
Legendary himselfHAHAHAHAH..... mtoto wa nzi umetisha sana.... mi bado nipo Mwanza.... ubize tu wa hapa na pale. kubet bado nabet japo mara chache sana napopata nafasi. nakumbuka kubet nimeanza mwaka 2010 nikiwa mwaka wa kwanza chuo pale IFM tulikua tunaenda pale new africa kuweka mikeka manualy sikumbuki vizuri tuliakua tunawekaje badae vodacom wakaingia ubia na M bet kwenye kuweka mikeka mitandaoni..... kwangu mm makampuni yaliyonilea kwenye betting ni m bet na meridian. zamani option zilikua chache sana lakini kanjibhai alikua anapasuka vibaya.
Unikumbuke ukiweka tips za mikekagys im baaaaack[emoji4],
uuuuuh nimekua very busy kiasi na last time nlipokea kipigo cha mmbwa koko from indian[emoji51] nikanina siku 3
well no kugive up, tuendelee
tukutane kesho morning [emoji4]
g9t babes[emoji4]
ShukraniView attachment 2887330
Hata Odds ndogo zinachana! Kwahiyo tujaribu bahati
Kabisa maana hakuna aliyetegemeaSenegal vs ivory cost gives us another lesson on betting.