Tuanzishe group la whatsapp tuwe tunapeana predictions za kila siku tupige mihela.kama mnaafiki wekeni namba zenu (pm)
Nitafurahi siku moja ukibadiri hiyo avator yako mkuu! kila nikiiona nacheka sana mpaka napaliwawakuu, hawa meridian leo mbona siwaelewi? eti mtu ukitaka kutazama tickets, unaomba u-log in ahata kama tayari unakuwa umeishalog in...kuna mwingine mwenye kupata tatizo hili?
View attachment 378531
Hiyo avatar inaonesha maumivu kila siku hatari sanaNitafurahi siku moja ukibadiri hiyo avator yako mkuu! kila nikiiona nacheka sana mpaka napaliwa
mkuu, Kanji ndiye aliyesababisha nikaweka avatar hii...ananipiga sana!Nitafurahi siku moja ukibadiri hiyo avator yako mkuu! kila nikiiona nacheka sana mpaka napaliwa
Hiyo game nilicheza 10mns draw cha ajab meridian washanipiga red kwe mkekaDkk86 Guangzhou 0-0.... Hatari sana
Ha[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
hata mimi mkuu mpaka sasa cjaelewa why au mimi cjaelewa maelezo yao kuhusu hyo option maan mpaka 10min ilikuwa draw aiseeeHiyo game nilicheza 10mns draw cha ajab meridian washanipiga red kwe mkeka
Hata mim naelewa kuwa inatakiwa ndan ya dk.10 iwe drawhata mimi mkuu mpaka sasa cjaelewa why au mimi cjaelewa maelezo yao kuhusu hyo option maan mpaka 10min ilikuwa draw aiseee
hapa cha msingi kusubiria game zilizobaki tuone itakuwajeHata mim naelewa kuwa inatakiwa ndan ya dk.10 iwe draw
Huu si uchawiii huu ft draw ila 10 min sio draw Hawawez wakawa hawajalewa hawa..
Mkuu hivi hii ya 10Min X inamaana gani hapa nilipo nimeduhaaa!!![emoji45] [emoji45] [emoji45]Hata mim naelewa kuwa inatakiwa ndan ya dk.10 iwe draw
Mkuu hii ni betting inachezwa ndan ya dk kumi toka mpira uanze ina 1 x 2 ukichagua 1= ndan ya dk kum home team awe amepata goli, ukichagua 2 = away awe ameshinda ndan ya dk kumi ma ukiweka x iwe draw ndan ya dk kumiMkuu hivi hii ya 10Min X inamaana gani hapa nilipo nimeduhaaa!!![emoji45] [emoji45] [emoji45]
Ivi bro we inabetiaga WAP?duu na mimi wamenifanyia hvooView attachment 378569
naona mahindi anataka kupiga kaunta ataki mkeka wako. Ila wanabadilisha nadhani