Kayombo Tips
JF-Expert Member
- Jun 19, 2020
- 461
- 574
Mkuu, utapeli gani ikiwa kile ulichoahidiwa unapata? Mimi nimekuambia Jisajili PARIPESA Kwa Kutumia Link zangu na Promo Code yangu, na nikakuambia ukiweka pesa utapewa bonus ya asilimia 100, halafu ukajisajili kweli na ukaweka hela yako na kweli ukapata bonus yako kwa asilimia 100, nakuwa nimekutapeli vipi?Hata hayo madude unayoweka ni sehem ya utapeli mkuu
Ikiwa kama huu ni utapeli basi hata betting yenyewe kwa ujumla wake ni utapeli. Kwa hiyo wote hapa tunatapeliwa na makampuni ya bettingHata hayo madude unayoweka ni sehem ya utapeli mkuu
Mkuu, utapeli gani ikiwa kile ulichoahidiwa unapata? Mimi nimekuambia Jisajili PARIPESA Kwa Kutumia Link zangu na Promo Code yangu, na nikakuambia ukiweka pesa utapewa bonus ya asilimia 100, halafu ukajisajili kweli na ukaweka hela yako na kweli ukapata bonus yako kwa asilimia 100, nakuwa nimekutapeli vipi?
Sielewi tunabishana nini, kama lengo la hii thread inajulikana, soma hiyo title mzee, kwanini usianzishe uzi wako wa ku weka hayo ma promo code yako kuliko kutulazimisha watu wote tufanane na mitazamo yako ya kijingaIkiwa kama huu ni utapeli basi hata betting yenyewe kwa ujumla wake ni utapeli. Kwa hiyo wote hapa tunatapeliwa na makampuni ya betting
Mkuu sioni kama mimi nina mtazamo tenge kama unavyo jaribu kuniweka.Sielewi tunabishana nini, kama lengo la hii thread inajulikana, soma hiyo title mzee, kwanini usianzishe uzi wako wa ku weka hayo ma promo code yako kuliko kutulazimisha watu wote tufanane na mitazamo yako ya kijinga
Mkuu kama hupendi hebu ni Ignore basi. Kuna button ya kumpuuza mtu mjinga kama mimi. Bonyeza hiyo button hutoona chochote kuhusu mimi. Wenzako wengi wameshajisajili na wamepata bonus yao tayari. Na wewe karibu mkuu jisajili ili tumteketeze kanji pamoja.Sielewi tunabishana nini, kama lengo la hii thread inajulikana, soma hiyo title mzee, kwanini usianzishe uzi wako wa ku weka hayo ma promo code yako kuliko kutulazimisha watu wote tufanane na mitazamo yako ya kijinga
Dah!!!!Mkuu sioni kama mimi nina mtazamo tenge kama unavyo jaribu kuniweka.
Lengo letu ni kumpiga kanjiAlways me doing what? I am posting betting tips on this thread because the thread is about betting. I post Booking Codes also which if one wants to stake can stake.
[emoji23] pipa kakufanyia nn mkuuTayari nimemfanyia kitu nisichokipenda kabisa, nimemuignore kayombo Kayombo Tips .
JF nzima nimeignore watu wawili pekee, mr pipa na huyu kayombo tips.
Ungekuwa na mafanikio ungekuwa na kurasa zako mwenyewe.Mkuu kama hupendi hebu ni Ignore basi. Kuna button ya kumpuuza mtu mjinga kama mimi. Bonyeza hiyo button hutoona chochote kuhusu mimi. Wenzako wengi wameshajisajili na wamepata bonus yao tayari. Na wewe karibu mkuu jisajili ili tumteketeze kanji pamoja.
Win ticket zilipigwa marufuku kupostiwa humu ndiyo maana kumekuwa na gundu kwenye huu uzi [emoji16]Hivi JITU BANDIA huwa anapost win tickets? [emoji23][emoji23]
Kuna boya anaitwa kayomboNawaona wakuu kwenye upatu.
[emoji137][emoji137][emoji137] Nawasalimu tu mana Leo mmefura humu kwani kimetokea nini.
Au basi telemsheni code hizo nimepata kamtaji nataka nichange nami
Aahaaaaa mwambieni ashushe code awache longo longo🤣Kuna boya anaitwa kayombo
Kaingia disco na mayombo
Jamaa mbishi kinomaAahaaaaa mwambieni ashushe code awache longo longo[emoji1787]
Sawa mkuu nimekuelewa. Asante sana kwa ushauri mkuukuna watu wa aina 2 wanaomponda Kayombo Tips:
1: wakamaria wa kawaida waliochoshwa na mitangazo kibao
2: mawakala wa Kanji; tunawatambua humu kwa mikelele yao kibao ya kujitamba wanajua kuanalyse, lakini codes/mikeka yao inachana daily hata mechi 2. hawa mawakala wanamjia juu Kayombo Tips wanaona kama anawaingilia.
kwako Kayombo Tips, sikukutei. punguza mitangazo mzee, mi mwenyewe unanikera.