Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu, utapeli gani ikiwa kile ulichoahidiwa unapata? Mimi nimekuambia Jisajili PARIPESA Kwa Kutumia Link zangu na Promo Code yangu, na nikakuambia ukiweka pesa utapewa bonus ya asilimia 100, halafu ukajisajili kweli na ukaweka hela yako na kweli ukapata bonus yako kwa asilimia 100, nakuwa nimekutapeli vipi?
Labda nikuulize swali simple tu,
Ni kweli mtu akijisajili kupitia promo code ndio anapata bonus ila bila promo code hapati?
 
Wakuu Hii Kazi Ni Ngumu sanaaa, Lakini siiachi, Sijui nifanye kustop huu Ujinga kwasababu kila siku ni kuliwa na Timu inayo chana ni moja

View attachment 2890389
hao mafala wamenichania mikeka miwili, na sijui ilikuaje nikaweka option sawa kwenye mikeka miwili......
timu za ureno sitakuja kuzibetia tena,
 
Hata mie nimeshangaa....ukiomba walete ushahidi wa walipochana kwa hizo game tatu wanaingia mitini
inawezekana siku hizi hatujui maana ya handcap......
city ameanza na gd ya -2, na kashinda 3:1, inakuaje win mkuu? nifundishe
 
kuna watu wa aina 2 wanaomponda Kayombo Tips:
1: wakamaria wa kawaida waliochoshwa na mitangazo kibao
2: mawakala wa Kanji; tunawatambua humu kwa mikelele yao kibao ya kujitamba wanajua kuanalyse, lakini codes/mikeka yao inachana daily hata mechi 2. hawa mawakala wanamjia juu Kayombo Tips wanaona kama anawaingilia.

kwako Kayombo Tips, sikukutei. punguza mitangazo mzee, mi mwenyewe unanikera.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dawa yake ni kumuweka kwenye ignore list tu maana hasikii
Hio sio dawa ni Ujinga wako Mzee..... Kuna kampuni ya kubet uliifahamu tu bila kupitia Kwa mtu wala matangazo!?? Hivi mnasomeaga wapi Ujinga.... Na sisi tukapate ujuzi wa ujinga kiwango chenu....
 
Labda nikuulize swali simple tu,
Ni kweli mtu akijisajili kupitia promo code ndio anapata bonus ila bila promo code hapati?
Ndiyo bila Promo Code hapati. Kwa mfano kama ukitumia Promo Code yangu kujisajili PARIPESA utapewa bonus ya asilimia 100, halafu kila Jumamosi ukiweka salio la kuanzia 24000 unapewa bonus ya asilimia 100 tena.
 
Stress za vipigo is real...watu wanahamishia hasira kwa mambo yaliyo ndani ya uwezo wao
Sasa nimeelewa kumbe wanahamishia goli Kwa jamaa ..... Wanajaribu kipunguza machungu.... Basi sawa kama itawaisaidia kumla mhindi basi waendelee wasimuIgnore jamaa Ili aendelee kuwapa pumziko la vipigo na maumivu
 
Sasa nimeelewa kumbe wanahamishia goli Kwa jamaa ..... Wanajaribu kipunguza machungu.... Basi sawa kama itawaisaidia kumla mhindi basi waendelee wasimuIgnore jamaa Ili aendelee kuwapa pumziko la vipigo na maumivu
Halafu mkuu ni watu tu kadhaa humu. Niliwaambia yeyote ambaye amewahi kutumiwa ujumbe inbox na mimi au kumtumia mkeka binafsi aonyeshe hapa, hakuna aliye fanya hivyo. Wanaishia kusema mimi tapeli. Walete ushahidi wa utapeli wangu.
 
Back
Top Bottom