Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ungekuwa na mafanikio ungekuwa na kurasa zako mwenyewe.

Tip master ana pages zake huko telegram/ whatsapp na ana followers kibao na watu wanakula.

Wewe unaweka image za ajabu ajabu hazina manufaa yoyote unashinda kutafuta watu wa kuweka promo code tu maana wewe kila kampuni upo hata haueleweki ni dalali au una makusudio gani.

anyway hata huko kwa previous post walitokea kama wewe na muda ukawa wkt mzuri ukawatupa.
Na bahati mbaya linaelekezwa halielewi, yaani hata halijui hii forum ni ya watu wa aina gani, Arrrrrgh!!!!!?
 
Hivi JITU BANDIA huwa anapost win tickets? 😂😂
Humu huwa tunapiga soga kupoteza muda wala si kuonyeshana ufahari unachokipata, ... Kwa mwenendo huu wa code👇👇

Jiulize wewe mwenyewe huwa nakula!? Ama sili!?

Ningekuwa sili... Ungeniona humu!?
Blazia yako uliyoileta humu...imeshararuka!...

Sisi Bado tupogo!

Akili kumkichwa!
StitchIt_20243101103754_000.png
 
Humu huwa tunapiga soga kupoteza muda wala si kuonyeshana ufahari unachokipata, ... Kwa mwenendo huu wa code👇👇

Jiulize wewe mwenyewe huwa nakula!? Ama sili!?

Ningekuwa sili... Ungeniona humu!?
Blazia yako uliyoileta humu...imeshararuka!...

Sisi Bado tupogo!

Akili kumkichwa!
View attachment 2890190

Kwa namna unavyopenda sifa ungekuwa unakula atleast za maana lazima ungepost...hizo ulizoweka hapo na misifa uliyonayo ni tofauti asee 😂

Na misifa yote hiyo account yako ina TZS 0.01 🙌

Nwei,kama kuna anayejua maana ya neno BLAZIA nitaomba anipe maana
 
Jinga jinga tu lisilojielewa, anaelekezwa haelewi??? Sijui ni ‘he’ au ‘she’ yaani hajui hata hii forum ni ya watu wa aina gani dah!!!
Mkuu kuanzia kesho nitapost mara mbili tu kwa siku kwa hiyo usijali. Muda si mrefu tutashinda millions kutoka kwenye code yangu yenye link na promo code yangu. Relax
 
Kwa namna unavyopenda sifa ungekuwa unakula atleast za maana lazima ungepost...hizo ulizoweka hapo na misifa uliyonayo ni tofauti asee 😂

Na misifa yote hiyo account yako ina TZS 0.01 🙌

Nwei,kama kuna anayejua maana ya neno BLAZIA nitaomba anipe maana
Account ya betting sio akaunti ya benki kwamba utunzie fedha zako!... Lini mtaelewa!?
 
Back
Top Bottom