Tatizo jamaa kageuza ili jukwaa la matangazo ilitakiwa alete hayo mambo kidogo tu kutujulisha kama kuna kitu kizuri sisi wenyewe tungekipigia chapuo na kuwaelimisha wengine siku zote ukisikia mtu anasema anayo dawa nzuri ya kutibu kitu furani watu nunueni ikawa mwaka kwa mwaka ana sema hivyo hivyo ni yeye tu basi ujue huyo ni taperi maana kama dawa inatibu vizuri basi hata walio itumia wangekuwa wanaipigia chapuo na siyo yeye tu muuzaji / mimi lilikuja kwenye huu uzi kujifunza na kutoa elimu nikapigwa vita wakati ukitazama muasisi wa huu uzi ndiyo lengo lake ukisoma muasisi alivyo eleza kwenye huu uzi utagundua lengo la huu uzi ni kupeana elimu ya jinsi ya kubeti na kujulishana mambo mapya bora kama hivyo kujulishana makampuni bora na watu wenyewe tukiya jaribu na kuyaona kuwa ni bora tutayapigia chapuo wenyewe ....huyo jamaa yeye anapigia chapuo yeye tu siku zote kwanini alivyo kwisha wasilisha tangazo asingoje mrejesho wa watumiaji ili wao ndiyo wapige chapuo.