Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hata hayo madude unayoweka ni sehem ya utapeli mkuu
Mkuu, utapeli gani ikiwa kile ulichoahidiwa unapata? Mimi nimekuambia Jisajili PARIPESA Kwa Kutumia Link zangu na Promo Code yangu, na nikakuambia ukiweka pesa utapewa bonus ya asilimia 100, halafu ukajisajili kweli na ukaweka hela yako na kweli ukapata bonus yako kwa asilimia 100, nakuwa nimekutapeli vipi?
 
Ikiwa kama huu ni utapeli basi hata betting yenyewe kwa ujumla wake ni utapeli. Kwa hiyo wote hapa tunatapeliwa na makampuni ya betting
Sielewi tunabishana nini, kama lengo la hii thread inajulikana, soma hiyo title mzee, kwanini usianzishe uzi wako wa ku weka hayo ma promo code yako kuliko kutulazimisha watu wote tufanane na mitazamo yako ya kijinga
 
Mkuu sioni kama mimi nina mtazamo tenge kama unavyo jaribu kuniweka.
 
Sielewi tunabishana nini, kama lengo la hii thread inajulikana, soma hiyo title mzee, kwanini usianzishe uzi wako wa ku weka hayo ma promo code yako kuliko kutulazimisha watu wote tufanane na mitazamo yako ya kijinga
Mkuu kama hupendi hebu ni Ignore basi. Kuna button ya kumpuuza mtu mjinga kama mimi. Bonyeza hiyo button hutoona chochote kuhusu mimi. Wenzako wengi wameshajisajili na wamepata bonus yao tayari. Na wewe karibu mkuu jisajili ili tumteketeze kanji pamoja.
 
Ungekuwa na mafanikio ungekuwa na kurasa zako mwenyewe.

Tip master ana pages zake huko telegram/ whatsapp na ana followers kibao na watu wanakula.

Wewe unaweka image za ajabu ajabu hazina manufaa yoyote unashinda kutafuta watu wa kuweka promo code tu maana wewe kila kampuni upo hata haueleweki ni dalali au una makusudio gani.

anyway hata huko kwa previous post walitokea kama wewe na muda ukawa wkt mzuri ukawatupa.
 
Huu ufala liverpol anaweza kuchapwa na Chelsea leo au draw [emoji56][emoji56][emoji56]
 
Nawaona wakuu kwenye upatu.
🙋🙋🙋 Nawasalimu tu mana Leo mmefura humu kwani kimetokea nini.
Au basi telemsheni code hizo nimepata kamtaji nataka nichange nami
 
kuna watu wa aina 2 wanaomponda Kayombo Tips:
1: wakamaria wa kawaida waliochoshwa na mitangazo kibao
2: mawakala wa Kanji; tunawatambua humu kwa mikelele yao kibao ya kujitamba wanajua kuanalyse, lakini codes/mikeka yao inachana daily hata mechi 2. hawa mawakala wanamjia juu Kayombo Tips wanaona kama anawaingilia.

kwako Kayombo Tips, sikukutei. punguza mitangazo mzee, mi mwenyewe unanikera.
 
Sawa mkuu nimekuelewa. Asante sana kwa ushauri mkuu
 
Back
Top Bottom