Kayombo Tips
JF-Expert Member
- Jun 19, 2020
- 461
- 574
Code nimeshusha zipo nyingi tu mkuu. Kuanzia kesho nitakuwa nashusha code 2 kwa siku, zenye odds 2-5.Aahaaaaa mwambieni ashushe code awache longo longo🤣
Na bahati mbaya linaelekezwa halielewi, yaani hata halijui hii forum ni ya watu wa aina gani, Arrrrrgh!!!!!?Ungekuwa na mafanikio ungekuwa na kurasa zako mwenyewe.
Tip master ana pages zake huko telegram/ whatsapp na ana followers kibao na watu wanakula.
Wewe unaweka image za ajabu ajabu hazina manufaa yoyote unashinda kutafuta watu wa kuweka promo code tu maana wewe kila kampuni upo hata haueleweki ni dalali au una makusudio gani.
anyway hata huko kwa previous post walitokea kama wewe na muda ukawa wkt mzuri ukawatupa.
Humu huwa tunapiga soga kupoteza muda wala si kuonyeshana ufahari unachokipata, ... Kwa mwenendo huu wa code👇👇Hivi JITU BANDIA huwa anapost win tickets? 😂😂
Humu huwa tunapiga soga kupoteza muda wala si kuonyeshana ufahari unachokipata, ... Kwa mwenendo huu wa code👇👇
Jiulize wewe mwenyewe huwa nakula!? Ama sili!?
Ningekuwa sili... Ungeniona humu!?
Blazia yako uliyoileta humu...imeshararuka!...
Sisi Bado tupogo!
Akili kumkichwa!
View attachment 2890190
Kuna kitu hakiko sawa kwako mkuu. Maneno yako yanaonesha ni mtu wa aina gani.Na bahati mbaya linaelekezwa halielewi, yaani hata halijui hii forum ni ya watu wa aina gani, Arrrrrgh!!!!!?
Mkuu kuanzia kesho nitapost mara mbili tu kwa siku kwa hiyo usijali. Muda si mrefu tutashinda millions kutoka kwenye code yangu yenye link na promo code yangu. RelaxJinga jinga tu lisilojielewa, anaelekezwa haelewi??? Sijui ni ‘he’ au ‘she’ yaani hajui hata hii forum ni ya watu wa aina gani dah!!!
Account ya betting sio akaunti ya benki kwamba utunzie fedha zako!... Lini mtaelewa!?Kwa namna unavyopenda sifa ungekuwa unakula atleast za maana lazima ungepost...hizo ulizoweka hapo na misifa uliyonayo ni tofauti asee 😂
Na misifa yote hiyo account yako ina TZS 0.01 🙌
Nwei,kama kuna anayejua maana ya neno BLAZIA nitaomba anipe maana
Iko siku Nitamkula mtu kinyeo humu!... Hatakaa asahau! Mbali ya kuamini!
Nimerusha jiwe gizani!... Kumbe limempata mtu!!!Mashoga mmeanza kujitangaza hadi huku?
hii si imechana?booooooooom[emoji4]
congrats if ulichezs, good 9t guys
Huyu manzi sometimes achezagi code zake ndo tatizohii si imechana?