Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Labda nikuulize swali simple tu,
Ni kweli mtu akijisajili kupitia promo code ndio anapata bonus ila bila promo code hapati?
 
Wakuu Hii Kazi Ni Ngumu sanaaa, Lakini siiachi, Sijui nifanye kustop huu Ujinga kwasababu kila siku ni kuliwa na Timu inayo chana ni moja

View attachment 2890389
hao mafala wamenichania mikeka miwili, na sijui ilikuaje nikaweka option sawa kwenye mikeka miwili......
timu za ureno sitakuja kuzibetia tena,
 
Hata mie nimeshangaa....ukiomba walete ushahidi wa walipochana kwa hizo game tatu wanaingia mitini
inawezekana siku hizi hatujui maana ya handcap......
city ameanza na gd ya -2, na kashinda 3:1, inakuaje win mkuu? nifundishe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dawa yake ni kumuweka kwenye ignore list tu maana hasikii
Hio sio dawa ni Ujinga wako Mzee..... Kuna kampuni ya kubet uliifahamu tu bila kupitia Kwa mtu wala matangazo!?? Hivi mnasomeaga wapi Ujinga.... Na sisi tukapate ujuzi wa ujinga kiwango chenu....
 
Labda nikuulize swali simple tu,
Ni kweli mtu akijisajili kupitia promo code ndio anapata bonus ila bila promo code hapati?
Ndiyo bila Promo Code hapati. Kwa mfano kama ukitumia Promo Code yangu kujisajili PARIPESA utapewa bonus ya asilimia 100, halafu kila Jumamosi ukiweka salio la kuanzia 24000 unapewa bonus ya asilimia 100 tena.
 
hao mafala wamenichania mikeka miwili, na sijui ilikuaje nikaweka option sawa kwenye mikeka miwili......
timu za ureno sitakuja kuzibetia tena,
Ni Sporting Cp tu ureno anaeaminika
 
Stress za vipigo is real...watu wanahamishia hasira kwa mambo yaliyo ndani ya uwezo wao
Sasa nimeelewa kumbe wanahamishia goli Kwa jamaa ..... Wanajaribu kipunguza machungu.... Basi sawa kama itawaisaidia kumla mhindi basi waendelee wasimuIgnore jamaa Ili aendelee kuwapa pumziko la vipigo na maumivu
 
Halafu mkuu ni watu tu kadhaa humu. Niliwaambia yeyote ambaye amewahi kutumiwa ujumbe inbox na mimi au kumtumia mkeka binafsi aonyeshe hapa, hakuna aliye fanya hivyo. Wanaishia kusema mimi tapeli. Walete ushahidi wa utapeli wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…