Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Halafu mkuu ni watu tu kadhaa humu. Niliwaambia yeyote ambaye amewahi kutumiwa ujumbe inbox na mimi au kumtumia mkeka binafsi aonyeshe hapa, hakuna aliye fanya hivyo. Wanaishia kusema mimi tapeli. Walete ushahidi wa utapeli wangu.
Mwendazake aliwahi kusema watu wakikichukia hata bila SABABU ..unaweza kuwa unaogelea nao lakini wakakwambia unawatimulia vumbi Ili Mradi tu wakulaumu .... Japo sio shabiki wake niliielewa sana hii kauli ... Kuna songi Moja la kibabe enzi hizo la Zig Zag Crew Ft Juma Nature lakuitwa WATU BWANA .... linau ujumbe mzuri sana Kwa watu wa aina hiyo wanaochukia tu bila SABABU YEYOTE ya msingi .....
 
Halafu mkuu ni watu tu kadhaa humu. Niliwaambia yeyote ambaye amewahi kutumiwa ujumbe inbox na mimi au kumtumia mkeka binafsi aonyeshe hapa, hakuna aliye fanya hivyo. Wanaishia kusema mimi tapeli. Walete ushahidi wa utapeli wangu.
Mkuu nmetumia promo code Yako ya tips ,,,ila sijapata bonus yoyote kimsingi paripesa n kampuni nzuri ya betting .kwahyo acha maigizo ya kudanganya umati kwamba Kuna 100% bonus
 
Mkuu nmetumia promo code Yako ya tips ,,,ila sijapata bonus yoyote kimsingi paripesa n kampuni nzuri ya betting .kwahyo acha maigizo ya kudanganya umati kwamba Kuna 100% bonus
Mkuu umeweka salio kwenye akaunti yako? Pia umejisajili kikamilifu kwa kujaza taarifa zote muhimu? Utapata bonus ukiweka salio ambapo wanakuzidishia mara mbili ya kiasi cha pesa ulichoweka. Kama umefuata maelekezo yote hayo, nenda kwenye akaunti yako ya bonus. Zingatia salio la bonus litakuwa kwenye akaunti ya bonus na siyo kwenye main account.
 
Tatizo huyo jamaa ni kupost sana matangazo wakati alitakiwa kufungua uzi wa wake kabisa.siyo kuweka matangazo endelevu kwenye huu uzi bora angekuwa ana post mara moja kwa week ila kila saa very stupid
 
Mkuu lengo langu siyo kutaka watu wajue kuwa kuna MAKAMPUNI YA KUBETIA kwa sababu mimi siyo mfanyakazi wa haya makampuni. Lengo langu watu wajiunge kupitia link zangu na kwa kutumia Promo Code zangu ili wapate bonus kila Jumamosi. Hivyo elewa lengo langu. Hiyo siyo ngeni kwako ipo dunia nzima. Kama wewe hutaki kujiunga basi usijiunge ila kuna wenzako wengi wanajiunga.
Wanatumia Promo Code za Watanzania na siyo Promo Code za nje kama Nigeria.
Mkuu jiunge basi na wewe ili uwe mmoja wa wanufaika wa bonus kila Jumamosi.
 
Oyaaaah mzeee kayomboo andaaa matreni ya paripesa sasa jumuisha corner , penalty,foul,card nk .ili tuone mchango wako syo matangazo 2
 
Oyaaaah mzeee kayomboo andaaa matreni ya paripesa sasa jumuisha corner , penalty,foul,card nk .ili tuone mchango wako syo matangazo 2
Mkuu kila siku naweka code pamoja na matangazo. Kila unapoona tangazo la PARIPESA, basi jua kuna code ya mkeka. Mchana huu nitaleta mkeka wa PARIPESA wa leo. Nitaweka mkeka na tangazo la kujisajili litakuwapo
 
Jamani maafisa ubashiri naomba kuuliza, hivi hakuna aliyewahi kumpiga kanji wa betpawa Kwa DC ya jackpot? Naona kama ni rahisi lkn nimeona niulize kwanza.
 
Hio sio dawa ni Ujinga wako Mzee..... Kuna kampuni ya kubet uliifahamu tu bila kupitia Kwa mtu wala matangazo!?? Hivi mnasomeaga wapi Ujinga.... Na sisi tukapate ujuzi wa ujinga kiwango chenu....
We fala kweli.. Hili thread siyo kwa ajili ya kutanganza au kufanya promo. Hazisaidii chochote hapa
 
Mkuu mbona code ya mkeka nimeambatanisha mkuu. Hujaona sehemu nimeandika Code ya mkeka mkuu? Kama hujaona code ya mkeka ni hii hapa mkuu XMFBZ
 
Jamani maafisa ubashiri naomba kuuliza, hivi hakuna aliyewahi kumpiga kanji wa betpawa Kwa DC ya jackpot? Naona kama ni rahisi lkn nimeona niulize kwanza.
Ipo ila sio kwa mechi zote
 
Pia Mkuu ulisoma maelezo vizuri mkuu kwenye post yangu? Code ya mkeka iko mwanzoni kabisa na nimeandika Code ya mkeka. Pia mkuu siwezi kupost tangazo la kuhusu kujiunga kwa Promo Code pasipo kuweka Code ya mkeka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…