Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna kila dalili wahuni wameanza kuichezea ligi ya ujerumani kama ilivyo kwa Italy. Matokeo ya hii ligi kwa mwaka jana na mwaka huu tangia umeanza kuna kila dalili wahuni wanafanya yao.
 
Nilijisajili nikaweka hela kupitia vodacom mastercard hela ikaenda na maji sina hamu nao hawa matapeli [emoji706][emoji706][emoji706]
Utakuwa labda kuna vitu ulikosea. Lakini mbona sasa hivi Inafanya kazi vizuri sana kwa kufanya malipo ya kutoa na kuweka pesa kupitia mitandao ya simu. Karibu hilo kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…