Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sikukatishi tamaa na wala hakuna lisilowezekana kwenye mapambano na chini ya jua.Ila stake ya Tsh 85 kwa ushindi wa milioni 85 na kitu inafikirisha sana.All.the best
Naweza edit na kubaki na mechi moja tu au mbili nikaweka elfu kumi na mkeka ukalost pia

Betting sio rahisi

Ijumaa na jana👇

Porto win or over 1.5
Dortmund over 0.5
 
pole mkuu, uwe unajarib tips za odds kidogo, pia mwanzo nilipoteza sana but nkadecide only tips za odds kidogo, now nawin zaid kuliko kuloose, try that way utanishkuru badae
Inasikitisha sana aise huu mpunga wote amechukua mtu ambaye simjui ata sura
 
pole mkuu, uwe unajarib tips za odds kidogo, pia mwanzo nilipoteza sana but nkadecide only tips za odds kidogo, now nawin zaid kuliko kuloose, try that way utanishkuru badae
Imechana odd ya mbili dada
 
Harafu fc porto double chance 1x alikuwa na odd ya 1.04 dah! Mhindi huyu😁😃 ni bora wakina girona odd zinashawishi unakuta double chance 1x 1.28 au 1.30 sasa fc Porto unaona bora uwende mazima tu🤣
 
Yaani betpawa tangie watoe bonus zao huku hakuna mzuka tena Wala sioni win za maana tu, kipindi kile unadeposit 20k unatembea na codes zote za betpawa unaendelea na mambo mengine

Ila hawa wajinga Bora tuwakazie tu ivi ivi, wakiona wateja wamepungua watarudisha bonus tu
 

Hata thronebet nao wameshtuka wametoa bonus
 

Roll Over Day 3 On 1xbet

Odds 2.247


Code Ya Mkeka: 99LY1

Jiunge na Stake 1xbet Hapa 👇👇

https://cutt.ly/rwKCoOUG

Promo Code Weka Neno: TIPS2424

Tumia Promo Code👉👉 TIPS2424 wakati wa kujisajili upate bonus ya mpaka TZS 250000 ukiweka pesa kwa mara ya kwanza.
 
Leo mwendo Wa draw..duh tuombe Mungu
Monaco..draw
Torino..draw
Vila real ...draw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…