Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Gabachori wa huko majuu kapigwa kwelikweli, mpaka kaomba poo.[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Ha
Gabachori wa huko majuu kapigwa kwelikweli, mpaka kaomba poo.[emoji38][emoji38][emoji38]View attachment 2898326
Unajua mm bhana ni fala kweli dah,,, huwa napenda kujiuliza uliza maswali ya kijinga jinga!!

Kwa mfano hapa sasa, hizo taarifa unazipata na naamini unawafatilia pia hao watu, wewe umepiga kiasi gani?!!
 
Picha hazionekani please , zitume kwa majina nataka niweke hela nzuri hapa

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
truidense vs kortrijjk - ov 1.5

salzburg vs sturm graz - ov 1.5

RKC waarwijk vs NEC nijmegen - ov 1.5

RUCH chorzow vs legia warsawc- - away win either half


haya mkuu nmekuandikia[emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…