davyventure the great
Senior Member
- Dec 2, 2023
- 150
- 200
Uchawi uchawi 2mliwe salama mliwe haswaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchawi uchawi 2mliwe salama mliwe haswaaa
Sema Azam akitulia anashinda,,,, timu yao Ina kila sababu ya ushindi!!!
Monaco anakimbizwaje,,,, hako katimu Rouen ni kiboko aisee,,,, hata wakifungwa Monaco wataikumbuka hii timuView attachment 2897396
Nimeunda hii mashine ya kesho nayo iko poa ama Kuna miyeyusho
Hako kateam balaaaa kalikua na maood mlimaMonaco anakimbizwaje,,,, hako katimu Rouen ni kiboko aisee,,,, hata wakifungwa Monaco wataikumbuka hii timu
Unajua mm bhana ni fala kweli dah,,, huwa napenda kujiuliza uliza maswali ya kijinga jinga!!Gabachori wa huko majuu kapigwa kwelikweli, mpaka kaomba poo.[emoji38][emoji38][emoji38]View attachment 2898326
Picha hazionekani please , zitume kwa majina nataka niweke hela nzuri hapa
usitumie app ya JF mkuu kama pic hazionekani, ingie google/chrome uingie website ya JF zitaonekana kirahis mkuu,nmebanwa sana job mkuu siwezi andika harakaPicha hazionekani please , zitume kwa majina nataka niweke hela nzuri hapa
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
truidense vs kortrijjk - ov 1.5Picha hazionekani please , zitume kwa majina nataka niweke hela nzuri hapa
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Asante sana , Shetani akuongezee ulipotoa dada mzuri wa mimi.truidense vs kortrijjk - ov 1.5
salzburg vs sturm graz - ov 1.5
RKC waarwijk vs NEC nijmegen - ov 1.5
RUCH chorzow vs legia warsawc- - away win either half
haya mkuu nmekuandikia[emoji120]
uwe unawaambia watu kuwa umetoa kwenye group huko telegram