Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
πππNgoja tusubiri dakika 90 za mwamuzi [emoji2]
Simba vs azam uhakikaHakuna game za uhakika
Usijalibu mkuu utabiri wangu WA leo nilio utoa kutokana na unajim Simba inapoteza game ama sare leoSasa huu ndio muda mwafaka wa kumpa simba maana odds zinatamanisha.
Ujue betting ni sawa na kilimo cha nyanya.
Wote mnalima ila kulingana na timing ya kupanda kuna mtu atauza kwa 1.8 milioni na mwingine kwa 4 milioni.
Leo umefanya kazi πUsijalibu mkuu utabiri wangu WA leo nilio utoa kutokana na unajim Simba inapoteza game ama sare leo
Pamoja ππ½Leo umefanya kazi π
hahah ashidwe pepo mchafu[emoji3], mbona unanlaani we kaka jamani[emoji26], nmelia sana[emoji24]Asante sana , Shetani akuongezee ulipotoa dada mzuri wa mimi.
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
what telegram group? sinaga hata h8yo telegram mkuu, yes zingine naedit mwenyewe zingine natoa kwa watu naojua wako vizuri kuedit,uwe unawaambia watu kuwa umetoa kwenye group huko telegram
Appreciate other people's efforts
what telegram group? sinaga hata h8yo telegram mkuu, yes zingine naedit mwenyewe zingine natoa kwa watu naojua wako vizuri kuedit,uwe unawaambia watu kuwa umetoa kwenye group huko telegram
Appreciate other people's efforts
Duh !! Kumekucha πwhat telegram group? sinaga hata h8yo telegram mkuu, yes zingine naedit mwenyewe zingine natoka kwa watu naokua wako vizuri,
na kushare humu ni vile tu natamani kuhelp pia wenzangu sababu pia nlisaidiwaga sana zamani nlipoanza betting, nilipigwa mpaka, but watu ambao hata siwafahamu they helped me, nkawin sans tena sana tena sana, gari yangu ya jwanza nilinunua cas of betting tena bet nloibaga kwa nigerian guy na ikawin, so relax , ukitaka cheza usipotaka tulia, si lazima ujue natoa wapi, au nalipwa?[emoji50]
imagine eti nmetoa telegram sjui niwaambie watu, what for? humu ukiona watu wameshare bet slips we chagua unayoona nzuri cheza si lazima ujue watu wsmetoa wapi, such a crackDuh !! Kumekucha [emoji28]
Hayo mabishano sijapenda kabsa adui ye2 n kanjii 2 m2 kutafta code uko au kuchambua mkeka hyo cyo kazi rahs kiihvyooo ametumia mda wake na mb zake kwahyo tunapaswa kushukuru ata mara 1 mojaππ«±π½βπ«²πΌimagine eti nmetoa telegram sjui niwaambie watu, what for? humu ukiona watu wameshare bet slips we chagua unayoona nzuri cheza si lazima ujue watu wsmetoa wapi, such a crack