Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

sijawahi kuona Code zako mzee yani wewe ni Taarabu non stop
 
NAWAKUMBUSHA.

Leo Kuna Mechi Nyingi sanaaa, Unaweza kuchanganyikiwa katika ku-bet. Nashauri.

Chagua Game 3 za Uhakika kwa kila League, Zifanyie uchambuzi upate Game 2 kila League, Halafu weka Mkeka wako, Stake Elfu 1 au 2 kesho utanikumbuka.

Acha Tamaa za Kuweka kila Timu
 
kwa wanaoandaa mikeka wenyewe. hakuna siku zinazokera kama jumamosi na jumapili. ligi ndogo kibao za Germany na England zinachosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…