Yaani wakamaria sijui tunataka nini!!? Haya mambo ndio yalimafanya Invigilator aache kupost mikeka. Mbona tunaumia sana tukiona mtu anapost mikeka inayowin!!? Hata kama ametoa telegram si unyamaze tu. Moaka mtu ameamua kushare mkeka maana yake anataka na wengine wapate. Wengi wana magroup lakini hawapost. Tumuache apost kama huna stake za kufata mikeka yake wewe endelea na matreni subiri utashinda 85M kwa 200 mwaka 2045 ukishazeeka. Tuache chuki za kishamba.linaitwa hivyo hivyo predict futbol nashangaa jamaa anajinadi eti ni yake😅😅😅😂😂😂😂
Fuata hiyo ukiweza editNakufata mazima Chotara.
Sawa sawaFuata hiyo ukiweza edit
ToteLeo sjui mchawi W2 atakua nan [emoji848][emoji848]
Wakumbuke kuna UEFA siku ya J4 na J5Leo direct win ni hatari kwa wakamalia msijee kusema hatukupeana tahadhari..
RelaxWazee wa over,,,,, mjiandae kisaikoloji mechi ya city
Yaani City atakavyopigwa kigoli kimoja dakika za jiooooni ndipo tutakapompa Kanji maua yake.Wazee wa over,,,,, mjiandae kisaikoloji mechi ya city
Dah hii itakua hatari Bora watoe sareeeYaani City atakavyopigwa kigoli kimoja dakika za jiooooni ndipo tutakapompa Kanji maua yake.