Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naanza hivi, Mchana huu...[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Attachments

  • 1470820102172.jpg
    34.6 KB · Views: 31
Jamaa anakuona mgeni hapa kijiweni. Ajajua kuwa wewe ni mkongwe.
 
Duuuh ..... Raimundo mgeni!!!!???? MTU tupo nae hmwaka wa tatu huu.... Yaani wewe ndio mgeni humu... Hata mwaka huna
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mi nilivoona hivo nikajua kaja leo.
Shkamoo bwana Raimundo [emoji119] , samahani sana kukuita kuku mgeni.
 
Braza naomba wasamee bure maana hata Rockcity native akisema a post Leo atonekana njuka tu wakati ndio muanzisha Uzi miaka mi3 iliyopita.... Na haya masuala tulishaongea humu weka timu weka jumla odds ni ngapi... Unapoweka na dau 1M afu sio "tiketi iliyolipiwa" ni tatizo .....
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mi nilivoona hivo nikajua kaja leo.
Shkamoo bwana Raimundo [emoji119] , samahani sana kukuita kuku mgeni.
Wengine tunajitahidi tu kupitapita humu ila haya mawasapu sijui mara matusi mara unatupia mkeka watu wanaucheka baada ya kuuchambua IMEONDOA VICHWA VINGI SANA SIKU HIZI WANAKIMBIZA MHINDI KIMYA KIMYA .....
 
Aliwahi kukiri kwamba anaongezaga 0 moja kwenye stake, so naona bado anaedeleza huo mtindo, siyo mbaya anyway, ni wish ya kila mmoja kula hela nyingi humu jukwaani. Nimeweka posts alizoomba samahani.

hahahahahaha! hatareeeeeeeeeeeee!
 
Ni kujaribu kukumbushana tu, naona dogo kama anaover use hizo stake amount!

Unajua kiukweli nikiona umeweka milioni nakuwa na imani kwamba lazima umefanya tafakari ya kutosha, hivyo ninakufata moja kwa moja na buku 5 yangu, kumbe umenizunguka ukaweka buku!

Humu tunacheza kwa akili za kuambiwa changanya na zako lakini pia ni kama timu, haina maana kuzugana.
 
Wengine tunajitahidi tu kupitapita humu ila haya mawasapu sijui mara matusi mara unatupia mkeka watu wanaucheka baada ya kuuchambua IMEONDOA VICHWA VINGI SANA SIKU HIZI WANAKIMBIZA MHINDI KIMYA KIMYA .....

Mkuu ninarudi soon kwa game 2 kwa bet, kwa wiki mara 3 kama dozi, najipanga kutafuta mtaji.

Maana NBA mpaka October ni mbali
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mi nilivoona hivo nikajua kaja leo.
Shkamoo bwana Raimundo [emoji119] , samahani sana kukuita kuku mgeni.

Ha ha ha, usijali mkuu. Nilielewa tu ni kwa sababu sijatia neon humu siku nyingi, toka NBA iishe. Ila kila siku lazima niangalie wadau wanaendeleaje ikibidi kama nina chochote nachukua tip.

Pamoja mkuu.
 
Mzee wa NBA. Naona umekuja kusabahi.
 
leo niko hivi
jeonbuk
gazmetan
pogon szczecin
fc inter turku
fc zurich
fc basel
qpr
linfield
celtic

washinde kawaida

sorry nimeweka late jeonbuk kishaanza na anaongoza....
 
Ha ha ha, usijali mkuu. Nilielewa tu ni kwa sababu sijatia neon humu siku nyingi, toka NBA iishe. Ila kila siku lazima niangalie wadau wanaendeleaje ikibidi kama nina chochote nachukua tip.

Pamoja mkuu.
Heshima kwako mkuu! Kitambo sana cjakuona[emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…