Invigilator
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 3,203
- 5,997
Huku hadi sasa hakuna majibu Mkuu, na sielewi itakuwaje, imenibidi kusubiri tu na kuendelea kuichezea polepole maana hakuna option.huko mkuu wanawajibu vipi kwamaan naona hata 888 hakuna option za mobile payment na majibu yao kwa upande huu kuwa zitarud lkn hawajui muda maalum,huko vp!
Ndg hii leo hukutoa tip ningekufuata [emoji91]
booooooim, congrats if you played hii[emoji4]
bado milan na napoli tu goal 1[emoji32]3D8F4C1 sporty
Barca hapa kwa hawa watoto wa Granada huwa ana kazi pevu siku zoteOdds alizokuwanazo kabla ya mechi ndugu yetu baselona na vitu anavyofanya uwanjani unabaki kushangaa.
Mpaka muda huu dak ya 75
Baselona 2:3 Granada
Siku mbaya sana kazini, nimeambulia 83K1st Ticket.
Slavia Prague Win
Stuttgart Win Either half
Psv Win
Barcelona win
2 ODDS View attachment 2900690
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Toka hapaa na meno yako ya kuunguaa[emoji16][emoji16][emoji16]3rd Ticket.
Fenebache Win
Brest Win or draw.
Beerschot Win
Feyenord Win
Den Haag Win Either half.
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Mauza uzaToka hapaa na meno yako ya kuunguaa[emoji16][emoji16][emoji16]
Bonus tunapata bila hata ya kupitia link zako. Wewe lengo lako ni wewe upate Wewe hizo bonus kwa kuleta wateja, sio kuweka mikeka watu wawinMkuu lengo langu siyo kutaka watu wajue kuwa kuna MAKAMPUNI YA KUBETIA kwa sababu mimi siyo mfanyakazi wa haya makampuni. Lengo langu watu wajiunge kupitia link zangu na kwa kutumia Promo Code zangu ili wapate bonus kila Jumamosi. Hivyo elewa lengo langu. Hiyo siyo ngeni kwako ipo dunia nzima. Kama wewe hutaki kujiunga basi usijiunge ila kuna wenzako wengi wanajiunga.
Wanatumia Promo Code za Watanzania na siyo Promo Code za nje kama Nigeria.
Mkuu jiunge basi na wewe ili uwe mmoja wa wanufaika wa bonus kila Jumamosi.
ila kurud unavyoona inaeza kurudi!!?Huku hadi sasa hakuna majibu Mkuu, na sielewi itakuwaje, imenibidi kusubiri tu na kuendelea kuichezea polepole maana hakuna option.
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app