7884898 hiyo betway.Ime faint sana dada mkuu hakuna namna tuione vizuri? nakufuata hapa.
itakuwa powa zaidi mamaa kma utatubless in form of code.........
ila shukrani ata kwa hiki
Hzo dakika ndo za magoli sasa hataamini atasema kanji ni mchawi 😂😂 Yan hzo dakika man city ndo atakuwa anamsaka mtu kwa mashuti makali kama yana moto 😂 na hyo option sio dakika tisini tu Yan ni mpaka mpira uishe kama zitaongezwa 8 ni mpaka hizo ziishemkuu hiyo kwa man city ni moto
Ingekuwa uchawi unasaidia kwenye betting basi wakamaria wengi wangekuwa wachawi. Hakuna mtu asiyependa pesa hapa duniani.[emoji16][emoji16] magic power, sio mchezo aisee
Hii option una asilimia 66 za kula na asilimia 33 za kupotezaSijasema kuwa ina assurance ya 100% kuwin mkuu ila ukiweza kubashiri kwa mtindo wa 1X, 12 au X2 kwa kufuatisha Form ya timu na Game husika ni bonge moja la option. Kumbuka mpira una matokeo matatu tu so izo option zingine ni extra tu bookies wameweka kutuchanganya.
Kanji mchawi!! Form ya Girona imeyumba toka achezee 4 za madridGirona hizi odd zakee mmh..!!! Sema ngoja niruke naeeee
Hii option una asilimia 66 za kula na asilimia 33 za kupoteza
Kuna mwana huko X anajiita real nigger alikuwa anampiga kanji kwa stake za 500k-1M...akaanza kutukana wanaoweka stake za 500-10000 kuwa hawajui kubeti...sasahv analalamima huko kanji kamnyoosha vibaya kila akiweka 500,000 kanji anapita nayo.Kwa mikeka yetu ya 500 upate M tatizo itakua ni Odds hapo
Utakuta Simba win or draw vs Mtibwa odd ni 1.05 [emoji23][emoji23]
Game ya Yanga ilikuwepo leo Betpawa??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unataka kuweka Stake ya kiasi Gani
Then. Nikutumie hapa Fastaaa kabla sijaenda kuangalia match ya Yanga
HaikuepoGame ya Yanga ilikuwepo leo Betpawa??
FA huwa hawaweki,labda aje akutane Simba na YANGA au AZAMGame ya Yanga ilikuwepo leo Betpawa??
Anashinda game ...aliotewa goli la mapema ila kashachomoaHi hawa Ipswich Wameuzwa Nao?
Anashinda game ...aliotewa goli la mapema ila kashachomoa