Mbona kama unatokwa na povu??Humu hakuna mtabiri zaidi yangu sema watu mnachukii mpaka sasa nimeuza odd kwa watu 80 na wote wamewin nyie chula endeleen kulia lia sijui braiton sijui man unit mtajua wenyewe ka laki mbili kangu kakuuza odd wana wamepata mamilion ya pesa mi ngoja nikajilewee, nawauliza tena hv kuna siku nimeleta humu utabir ukafeli kama tu wa juz nimewatajia had idad ya magori na bado mmekaza fuvu maninar endeleen kuliwa
uliona wap bakhesa anatoka povu labda trump kwakuwa anautaka uraisi tena ,,,, mi ndio mr pipa aka nabii tajir muuza odd vp kwani una swali jingine wenzako walini block na mwingine kani block sio muda baada ya kunishindwa,, sijui wewe utaniweza humu ndan ya post kuna miamba inajielewa sana wapo kama 8 hv ila mlio na roho za kuku ukimix na shida mlizo nazo lazima mumchukie nabii .. mr pipa.....hapa ni pini tu hatumrembei mtu asie jitambuaMbona kama unatokwa na povu??
Acha taarabu.uliona wap bakhesa anatoka povu labda trump kwakuwa anautaka uraisi tena ,,,, mi ndio mr pipa aka nabii tajir muuza odd vp kwani una swali jingine wenzako walini block na mwingine kani block sio muda baada ya kunishindwa,, sijui wewe utaniweza humu ndan ya post kuna miamba inajielewa sana wapo kama 8 hv ila mlio na roho za kuku ukimix na shida mlizo nazo lazima mumchukie nabii .. mr pipa.....hapa ni pini tu hatumrembei mtu asie jitambua
mambo ya yusufu hayo,, na mtoto waoo zuchuAcha taarabu.
Du kumbe zuchu baba yake ni huyomambo ya yusufu hayo,, na mtoto waoo zuchu
Umepigaje hapo?!Hapo sasa naweza kulala, msiogope virtual ila mjaribu kwa kukaa ndani ya limits zenu... Muwe na usiku mwema 🙂
View attachment 2915339
Hiyo ya kila siku futa ....inategemea unacheza mikeka mingapi kula kila siku siyo shida ila pia lazima uliwe kila siku kikubwa ni mavuno yawe mengi kuliko hasara.ANGALIZO :- KUNDI LA MATAPELI
A ) Hawa wa Nyota,sijui Ushuzi gani
B) Wale wa Sure odds
C) Wale sijui nimekula milioni,mara kila siku nampasua muhindi
Hilo kundi limefelli kimaisha
Kuna style kibaoooo za usanii,hasa hawa new comers,tuliosoma Secondary tunawaita Miswaki.
Wanaanzia mbaaaali mnoo,then taratiiiibu wanategemea watu kuwaelewa kwa akili zao zilivyo ndogo ila watu nao humu wanawaona makatuni FULANI hivi.
Yaani wanajiona kwamba wanatumia nguvu kubwa na njia sahihi za ushawishi kumbe watu wanaona ni Shake headed
Shida nikiwamba this is a group of GREAT THINKERS na mostly wengi group hili Shule ipo,na hao wasaniii wanakuja na issue za kiboyaaaa,WAHA wasema VIRANDAGE[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Members Wakongwe tunawaona ni sehem ya Entertainment ya Wajinga na Wapumvavu.But ni Psychological issues acha wajitibu.
Endeleeeni kupoteza Muda kubariki UJINGA wenu kizamani
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ila huu uzi siku hizi umekuwa wa vichekeshoo sanaa.. Hata facebook hao mafala 80 wa kuwauzia utumbo huwapati..Humu hakuna mtabiri zaidi yangu sema watu mnachukii mpaka sasa nimeuza odd kwa watu 80 na wote wamewin nyie chula endeleen kulia lia sijui braiton sijui man unit mtajua wenyewe ka laki mbili kangu kakuuza odd wana wamepata mamilion ya pesa mi ngoja nikajilewee, nawauliza tena hv kuna siku nimeleta humu utabir ukafeli kama tu wa juz nimewatajia had idad ya magori na bado mmekaza fuvu maninar endeleen kuliwa
Mnajimu umetabiri uongo ,UTABIRI WA MECHI KATI YA YANGA NA CR Belouzdad TAREHE 24/02/2024
Siku hii jua lipo ktk nyota ya Samaki na mwezi ktk nyota ya Mashuke.
HALI ZA TIMU KINYOTA
CR Belouzdad tunawaweka ktk nyota ya Mapacha na Yanga ktk nyota ya Punda, siku hii nyota hizi zitakuwa na Hali sawa kinyota.
HALI ZA MAKOCHA
Kocha wa CR Belouzdad ana nyota ya Mashuke, Kocha wa Yanga ana nyota ya Mshale ambayo itakuwa na bahati siku hii.
HALI ZA MAKIPA
CR Belouzdad ina MAKIPA watatu ambao Wana nyota za Ng'ombe na ndoo, kipa mwenye nyota ya Ng'ombe kulingana na kikosi Chao hatakuwepo hivyo watakuwa wawili wote ni ndoo hivyo Wana bahati siku hii.
MAKIPA wa Yanga wao Wana nyota za Samaki, Mshale na ndoo wote Wana bahati.
MATOKEO YA MCHEZO
Mchezo huu utakuwa mgumu Sana haswa kulingana na uwiano wa kinyota na mwisho tunashuhudia sare ya kufungana au Yanga kupoteza mchezo.
KWANINI
Mpira huu utachezwa muda ambao mwezi tayari utakuwa umeingia ktk nyota ya Mashuke.
Nimeongeza matusi moyoni piaMan u unapigwa home umenikosesha 120 wew peke yako...k lako man u
Nilikuwa na mkeka wa mwezi,,, na jana ndo ilikuwa mwsho kwa mechi nne,,, city, baka, aseno na united,,,, baka na united niliwapa win draw,,, kilichofuata kwa united dahNimeongeza matusi moyoni pia
Mkuu humu ndani huonekani, au unapita kimyakimyaNimeongeza matusi moyoni pia
Ilikuwa sahihi mkuu kama uliiwekaWakubwa kwema?
Poleni na mapambano dhidi ya Kanjibai.
Mnaionaje mechi ya Uto na Waarabu?
Mimi huwa napenda single game na-stake high...
Leo nataka nimpe Uto ashinde nataka kuweka 500k naona ana odds nzuri 2.10
Ushauri wenu.