Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

share_1708800144797.jpeg
 
Humu hakuna mtabiri zaidi yangu sema watu mnachukii mpaka sasa nimeuza odd kwa watu 80 na wote wamewin nyie chula endeleen kulia lia sijui braiton sijui man unit mtajua wenyewe ka laki mbili kangu kakuuza odd wana wamepata mamilion ya pesa mi ngoja nikajilewee, nawauliza tena hv kuna siku nimeleta humu utabir ukafeli kama tu wa juz nimewatajia had idad ya magori na bado mmekaza fuvu maninar endeleen kuliwa
Mbona kama unatokwa na povu??
 
Mbona kama unatokwa na povu??
uliona wap bakhesa anatoka povu labda trump kwakuwa anautaka uraisi tena ,,,, mi ndio mr pipa aka nabii tajir muuza odd vp kwani una swali jingine wenzako walini block na mwingine kani block sio muda baada ya kunishindwa,, sijui wewe utaniweza humu ndan ya post kuna miamba inajielewa sana wapo kama 8 hv ila mlio na roho za kuku ukimix na shida mlizo nazo lazima mumchukie nabii .. mr pipa.....hapa ni pini tu hatumrembei mtu asie jitambua
 
Acha taarabu.
 
ANGALIZO :- KUNDI LA MATAPELI

A ) Hawa wa Nyota,sijui Ushuzi gani
B) Wale wa Sure odds
C) Wale sijui nimekula milioni,mara kila siku nampasua muhindi

Hilo kundi limefelli kimaisha

Kuna style kibaoooo za usanii,hasa hawa new comers,tuliosoma Secondary tunawaita Miswaki.

Wanaanzia mbaaaali mnoo,then taratiiiibu wanategemea watu kuwaelewa kwa akili zao zilivyo ndogo ila watu nao humu wanawaona makatuni FULANI hivi.
Yaani wanajiona kwamba wanatumia nguvu kubwa na njia sahihi za ushawishi kumbe watu wanaona ni Shake headed

Shida nikiwamba this is a group of GREAT THINKERS na mostly wengi group hili Shule ipo,na hao wasaniii wanakuja na issue za kiboyaaaa,WAHA wasema VIRANDAGE[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Members Wakongwe tunawaona ni sehem ya Entertainment ya Wajinga na Wapumvavu.But ni Psychological issues acha wajitibu.

Endeleeeni kupoteza Muda kubariki UJINGA wenu kizamani
Hiyo ya kila siku futa ....inategemea unacheza mikeka mingapi kula kila siku siyo shida ila pia lazima uliwe kila siku kikubwa ni mavuno yawe mengi kuliko hasara.
 
Humu hakuna mtabiri zaidi yangu sema watu mnachukii mpaka sasa nimeuza odd kwa watu 80 na wote wamewin nyie chula endeleen kulia lia sijui braiton sijui man unit mtajua wenyewe ka laki mbili kangu kakuuza odd wana wamepata mamilion ya pesa mi ngoja nikajilewee, nawauliza tena hv kuna siku nimeleta humu utabir ukafeli kama tu wa juz nimewatajia had idad ya magori na bado mmekaza fuvu maninar endeleen kuliwa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ila huu uzi siku hizi umekuwa wa vichekeshoo sanaa.. Hata facebook hao mafala 80 wa kuwauzia utumbo huwapati..
 
UTABIRI WA MECHI KATI YA YANGA NA CR Belouzdad TAREHE 24/02/2024

Siku hii jua lipo ktk nyota ya Samaki na mwezi ktk nyota ya Mashuke.

HALI ZA TIMU KINYOTA

CR Belouzdad tunawaweka ktk nyota ya Mapacha na Yanga ktk nyota ya Punda, siku hii nyota hizi zitakuwa na Hali sawa kinyota.

HALI ZA MAKOCHA

Kocha wa CR Belouzdad ana nyota ya Mashuke, Kocha wa Yanga ana nyota ya Mshale ambayo itakuwa na bahati siku hii.

HALI ZA MAKIPA

CR Belouzdad ina MAKIPA watatu ambao Wana nyota za Ng'ombe na ndoo, kipa mwenye nyota ya Ng'ombe kulingana na kikosi Chao hatakuwepo hivyo watakuwa wawili wote ni ndoo hivyo Wana bahati siku hii.
MAKIPA wa Yanga wao Wana nyota za Samaki, Mshale na ndoo wote Wana bahati.

MATOKEO YA MCHEZO

Mchezo huu utakuwa mgumu Sana haswa kulingana na uwiano wa kinyota na mwisho tunashuhudia sare ya kufungana au Yanga kupoteza mchezo.
KWANINI
Mpira huu utachezwa muda ambao mwezi tayari utakuwa umeingia ktk nyota ya Mashuke.
Mnajimu umetabiri uongo ,
 
Wakubwa kwema?

Poleni na mapambano dhidi ya Kanjibai.

Mnaionaje mechi ya Uto na Waarabu?

Mimi huwa napenda single game na-stake high...

Leo nataka nimpe Uto ashinde nataka kuweka 500k naona ana odds nzuri 2.10

Ushauri wenu.
Ilikuwa sahihi mkuu kama uliiweka
 
Back
Top Bottom