Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Huyodortmund ni kishandu kwa wakamariaDortmund WIN/DRAW√
Chelsea WIN/DRAW√
Roma WIN/DRAW√
Spurs WIN/DRAW√
Marseille WIN/DRAW✓
Gol mahia WIN/DRAW✓
Far Rabat WIN/DRAW√
Saint gillose WIN/DRAW✓
Odds 6
Ndio mkuu mchongo upo njeMwaga nondo tuanze upembuzi yakinifu. Au loophole umeona kwa kampuni za nje?
Daaaah mbona hatari hiiNimewahi kutumia na VISA ya KCB Bank nilisahau. Ila hiyo kama una njaa haifai, ukiwithdraw pesa inakufikia ndani ya siku 14 za kazi.
Kuweka inachukua muda gani mkuuNimewahi kutumia na VISA ya KCB Bank nilisahau. Ila hiyo kama una njaa haifai, ukiwithdraw pesa inakufikia ndani ya siku 14 za kazi.
Kuweka ni dakika 0 tuKuweka inachukua muda gani mkuu
AiseeUzi wa mabroke na waomba buku buku za watu, fanyeni kazi achaneni na janja janja.
😄😄
Unajikisiaje kutingisha matako mbele ya wanaume wenzako?Uzi wa mabroke na waomba buku buku za watu, fanyeni kazi achaneni na janja janja.
[emoji1][emoji1]
Hii nzri doubt ni kwa wydadSimba√
Esperance√
Wydad√
Liverpool√
Madrid√
Odds 6
Aisee, aya bhanaUzi wa mabroke na waomba buku buku za watu, fanyeni kazi achaneni na janja janja.
[emoji1][emoji1]
Anashinda, labda shida ni Odds alizopewa.simba anaweza kushinda, ila tatizo sio wa kumwekea hela.....