Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,568
- 9,710
Twendeniii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo unaona utabiri wako umeenda sawa?!!View attachment 2921770
Kama nilivyo tabiri ndio imekua🙏🏽
Kuna chizii pia ah Chelsea piaHuyodortmund ni kishandu kwa wakamaria
That's logic ad hominem, you've ignored the topic and start to attack me.Narejea Mdau
Mie nimepitia changamoto nyingi mnoooo
Humu hakuna ane omba hela ya kula huku,au labda ni wewe mwenyewe unatumia accounts nyingi humu.JF zikifika kumi una Buku kumi
Maana unatetea vitu vya hovyo kabisa.
Humu pesa unayoombwa ni ya Chakula cha mcheza KAMARI yaani kubetia,sasa usione unaombwa hela ya kula unafikiria mtu anataka ya kula ni ya kucheza KAMARI
Wewe unaomba Buku huku kila siku upo online, sasa huu sikutaka ulelewe na Wanaume wenzio?
Watu wanaomba Kazi na Michongo ya Biashara sio pesa.
Sasa Asha Ngedere aombe pesa na wewe Mwanaume Badala ya kuomba Kazi unaomba Pesa.
Kama ubamikiki Sim ya laki Moja tu,basi unamtaji tayari,shida vijana wa sasa mnataka mchekea,mie Nina age 35 ila nimefanya sana Biashara ya kuuza Karanga,yaani hawa unaowaona wanauza Karanga mtaani na Mahindi,aisee huwezi kukuta wanalialia kimama hivyo,watalia kwa shida nyingine,na pia ukiwa kwenye mfumo basi ni Rahisi kusaidiwa na ulionao kwenye Biashara.
Narejea,kama umefungua account zaidi ya Moja humu JF kuomba pesa,Buku Buku hizi aisee Biashara nzuri sana, accounts 10 kw siku Buku kumi,mwezi laki 3.
Humu ukiombwa pesa ni ya kudet tuuuuuuuuu hakuna ya pesa ya Kula.
Unaomba Pesa humu,then upo online on daily status na unamiliki smart phone? Unalia njaa Mtoto wa Kiume ? Huku wenzio wapo Day worker wanapandisha Tofali saidia Fundi?
Tuache hii Mada
Leteniiii Codesssssssss
Tomaso the San😁Hapo unaona utabiri wako umeenda sawa?!!
😂😂Anzeni kudeposit Tena wakuu.msichoke!!
we tulia.Anzeni kudeposit Tena wakuu.msichoke!!
NoumaYaani games zote za Bundesliga zimetoa over 1.5 kasoro niliyo betia mimi tu [emoji23]
Game gani ya bundesliga haijatoa over 1.5?Yaani games zote za Bundesliga zimetoa over 1.5 kasoro niliyo betia mimi tu [emoji23]
Nina faili lako .Anzeni kudeposit Tena wakuu.msichoke!!