Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Twendeniii

Screenshot_20240302-135641.png
 
Wazee wenzangu nimerudi tena.

Here we go...betPawa code D4A23CD
Game zinaanza saa11 jioni hii.

Chambua, punguza timu labda ila kikubwa zaidi weka pesa yakutosha na umpige muhindi...wale wakongwe wenzangu wanajua kabisa ukila njoo utoe shukrani.
Screenshot_20240302-152905.jpg
 
Narejea Mdau

Mie nimepitia changamoto nyingi mnoooo

Humu hakuna ane omba hela ya kula huku,au labda ni wewe mwenyewe unatumia accounts nyingi humu.JF zikifika kumi una Buku kumi

Maana unatetea vitu vya hovyo kabisa.

Humu pesa unayoombwa ni ya Chakula cha mcheza KAMARI yaani kubetia,sasa usione unaombwa hela ya kula unafikiria mtu anataka ya kula ni ya kucheza KAMARI

Wewe unaomba Buku huku kila siku upo online, sasa huu sikutaka ulelewe na Wanaume wenzio?

Watu wanaomba Kazi na Michongo ya Biashara sio pesa.
Sasa Asha Ngedere aombe pesa na wewe Mwanaume Badala ya kuomba Kazi unaomba Pesa.

Kama ubamikiki Sim ya laki Moja tu,basi unamtaji tayari,shida vijana wa sasa mnataka mchekea,mie Nina age 35 ila nimefanya sana Biashara ya kuuza Karanga,yaani hawa unaowaona wanauza Karanga mtaani na Mahindi,aisee huwezi kukuta wanalialia kimama hivyo,watalia kwa shida nyingine,na pia ukiwa kwenye mfumo basi ni Rahisi kusaidiwa na ulionao kwenye Biashara.

Narejea,kama umefungua account zaidi ya Moja humu JF kuomba pesa,Buku Buku hizi aisee Biashara nzuri sana, accounts 10 kw siku Buku kumi,mwezi laki 3.

Humu ukiombwa pesa ni ya kudet tuuuuuuuuu hakuna ya pesa ya Kula.

Unaomba Pesa humu,then upo online on daily status na unamiliki smart phone? Unalia njaa Mtoto wa Kiume ? Huku wenzio wapo Day worker wanapandisha Tofali saidia Fundi?

Tuache hii Mada

Leteniiii Codesssssssss
That's logic ad hominem, you've ignored the topic and start to attack me.

Kwa akili yako ndogo nilijua utakuja na attack kwamba mimi ni muhusika wa kuomba hizo pesa.

Sijawahi ku-bet chini ya 30k kaka, sasa sijui hizo buku buku ntazifanyia nini!

Tumia umri wako vizuri, punguza ujuaji.

Dhumuni langu sio kutetea wanaomba buku za watu, bali dhumuni langu tuwe wanaume wenye koromeo la kuficha mambo madogo madogo kama haya.

Nyie ndo wale mabraza mkiombwa pesa na wadogo zenu lazima muwatangaze kwa ndugu wengine ni aibu, kuwa mwanaume jifunze ku-hold vitu.
 
Anzeni kudeposit Tena wakuu.msichoke!!
we tulia.

umeshindwa kubet kwasababu ulikuwa unategemea codes. ulikuwa unasubiria wengine wachambue mechi halafu wewe ndiyo ukopi.

kwa staili ya kutegemea wengine ndiyo maana ulishindwa kubet, sasa umekuwa mtu wa kutukatisha tamaa ukiamini kwamba kwasababu wewe umeshindwa, na sisi tutashindwa.

hebu tuache, au unatamani kurudi?!. rudi tu
 
leicester[emoji1435][emoji1435][emoji1435][emoji1435][emoji1435]
 
Back
Top Bottom