Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jmos ndo ilivyo mkuu!Aiseeeeee yaani nimecash out buku 2 kwenye stake yangu ya 50k halafu liver ndio anafunga goli sasa. Daaaah kubet ni laana
wanasema bet is not for the weak eti!Aiseeeeee yaani nimecash out buku 2 kwenye stake yangu ya 50k halafu liver ndio anafunga goli sasa. Daaaah kubet ni laana
More than painJmos ndo ilivyo mkuu!
Alaaniwe aliyeweka cashoutwanasema bet is not for the weak eti!
Unafanya kazi masijala Chief?Nina faili lako .
Mimi nimetulia kaka ,Kanjibahi hakuna anayemuwezawe tulia.
umeshindwa kubet kwasababu ulikuwa unategemea codes. ulikuwa unasubiria wengine wachambue mechi halafu wewe ndiyo ukopi.
kwa staili ya kutegemea wengine ndiyo maana ulishindwa kubet, sasa umekuwa mtu wa kutukatisha tamaa ukiamini kwamba kwasababu wewe umeshindwa, na sisi tutashindwa.
hebu tuache, au unatamani kurudi?!. rudi tu
haha! Deo mwenzako wa huku kitaa kala visu vya kutosha. Sem kina deo bhana!Unafanya kazi masijala Chief?
Deposit Tena Kuna game za usiku kaka
Seriously!![emoji848][emoji848]Alaaniwe aliyeweka cashout
AiseeeAnzeni kudeposit Tena wakuu.msichoke!!
kumbe ni mwenzetu?!. sasa mbona unakuwa kama mchawi?!. kila ukija unakuja na kauli za kutukatisha tamaa.Mimi nimetulia kaka ,Kanjibahi hakuna anayemuweza
Siku nitakayoona Kuna mbinu imepatikana nitarudi tu rasmi
Ila sahizi nabet kwa machale mnoo!!
All the best
Mi napenda kuwa tease tu wakamaria!!kumbe ni mwenzetu?!. sasa mbona unakuwa kama mchawi?!. kila ukija unakuja na kauli za kutukatisha tamaa.
mapambano yaendelee kimyakimya mkuu.
Fuata hisia zko game ina tension kubwaMadrd anachoka au tukesh out