Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

we tulia.

umeshindwa kubet kwasababu ulikuwa unategemea codes. ulikuwa unasubiria wengine wachambue mechi halafu wewe ndiyo ukopi.

kwa staili ya kutegemea wengine ndiyo maana ulishindwa kubet, sasa umekuwa mtu wa kutukatisha tamaa ukiamini kwamba kwasababu wewe umeshindwa, na sisi tutashindwa.

hebu tuache, au unatamani kurudi?!. rudi tu
Mimi nimetulia kaka ,Kanjibahi hakuna anayemuweza
Siku nitakayoona Kuna mbinu imepatikana nitarudi tu rasmi
Ila sahizi nabet kwa machale mnoo!!
All the best
 
Mimi nimetulia kaka ,Kanjibahi hakuna anayemuweza
Siku nitakayoona Kuna mbinu imepatikana nitarudi tu rasmi
Ila sahizi nabet kwa machale mnoo!!
All the best
kumbe ni mwenzetu?!. sasa mbona unakuwa kama mchawi?!. kila ukija unakuja na kauli za kutukatisha tamaa.

mapambano yaendelee kimyakimya mkuu.
 
Hii imetoa kwa mbinde sana
 
Attachments

  • Screenshot_20240302-211826.png
    Screenshot_20240302-211826.png
    152.8 KB · Views: 5
Back
Top Bottom